KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wakuu naomba kujuzwa kama muda wa kutoa maoni ya katiba bado unaendelea maana leo ITV wameonyesha wasanii wakipeleka maoni yao yaingizwe kwenye katiba. Sijajua sheria ya mabadiliko ya katiba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii inatokana na mifumo ya mabunge itakuwaje yeye adai Kama watajadili mfumo wa serikali 2 yeye atakaa pembeni Mimi nadhani wanasubiri wafike Wengi ndio waamini Kama watu wanataka serikali tatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wapo mbumbumbu wengi wa mambo ya utawala ambao wanawahadaa wananchi kuwa ni kupoteza mda na kodi za wananchi kuzungumzia uongozi au utawala wa nchi. hapa watanzania ndipo wanatakiwa kuwa makini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ali Mohamed Kessy ambaye pia ni Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM) akiwatangazia waandishi wa habari kuunga mkono muundo wa serikali tatu uwepo katika Katiba Mpya, mjini...
15 Reactions
188 Replies
23K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi.PICHA|MAKTABA Na Sharon Sauwa, Mwananchi Jumatatu, Agosti 25 2014 saa 9:24 Asubuhi Kwa ufupi Akizungumzia kesi hiyo iliyofunguliwa na Kubenea, Arfi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Na Humphrey Polepole Kwa ufupi Ukiharibu Muundo wa Jamhuri kwenye Bunge utavurugakabisa. Ukiharibu Muundo wa Jamhuri kwenye Bunge utavurugakabisa Wakati Bunge Maalumu la Katiba likiendelea na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa hili nimpongeze Mh Mwigulu Lameck Nchemba kwa kusema kweli.nanukuu"UKIONA VIONGOZI WANANG'ANG'ANIA KUJADILI IDADI YA SEREKALI BADALA YA MAADILI YA VIONGOZI NA MAMBO YANAYOMGUSA MTU WA CHINI...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Salum Suluhu, amesema kamati namba saba na nane zimeshindwa kupata theluthi mbili, kutokana na uchache wa wajumbe kutoka Zanzibar...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukisoma vizuri historia ya muungano. Hata karume hakuutaka ila hakuwa na namna ila kuukubali haya yanathibitishwa na Joseph Mihangwa HAPA alipokuwa akimuandika John Okello. Lakini pia hata kile...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakati Rais Jakaya Kikwete akishinikizwa na makundi mbalimbali ya kijamii yakimtaka kusitisha kwa muda Bunge Maalum la Katiba, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, amejiweka mbali kabisa na Bunge hilo na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya jamaa wa UKAWA kususa (tabia ya kike) CCM imeamua kuvaa sura mbili ili kuwahadaa watanzania Wakurupukaji/ Mashabiki/Misukule ya zidumu Fikra za mwenyekiti. Sura hizo ni: 1. CCM halisi...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Wakazi wa Kijiji cha Letto kilichopo Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, wamedai kuwa hawakuwahi kuiona Tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya kwenye kijiji chao na kata yao. Wanajiuliza je wao...
0 Reactions
82 Replies
7K Views
Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila kukicha Mamilioni ya shilingi hupanguka na kuingia kwenye mifuko ya watu wanaojiita Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba kama posho. Picha nzima ya Bunge hili na Changamoto za chaguzi mbali...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya kile...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
mchakato wa katiba mpya unaoendelea unaonyesha viongoziwengi ni vihiyo ambao hawakupata madaraka kutokana na uwezo wao wa kuongozabali walipata madaraka kwa ujanjaujanja kama kuwa na mtu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati Namba Kumi, Anna Abdalah, amesema Bunge siyo mwarobaini wa matatizo ya nchi kwa kutaka kila kiongozi wa kuteuliwa athibitishwe na Bunge kwani kufanya hivyo ni kugonganisha...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika hali ya mchakato wa Katiba unaoendelea Bungeni,UKAWA na Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati. Kwa hali ilivyo nawashauri kurudi bungeni ili kusaidi kuboresha mapendekezo yaliyoletwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Juma, amesema hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueleza kuridhishwa na utendaji wa Bunge hilo wakati hakuna mwakilishi aliyechaguliwa kwa kura na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeikuta hii sehemu fulani:
8 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom