Baada ya Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, pamoja na wenyeviti wenzake katika Ukawa, Profesa Ibrahim Lipumba wa Chama cha Wananchi (CUF) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
awaomba ukawa kurudi bungeni,,,asema majadiliano ni mezani hoja kwa hoja,,,ni hivi punde hapa mkutano unaendele manzeshe,,,silaa ni mgeni rasmi,,,,sijawahi kuona manzese imejaza kiasi hiki...
Wajumbe kutoka Zanzibar wanaoendelea na bunge maalum la katiba wameibua hoja ya kumfanya rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kwanza wa rais wa Tanzania katika muundo wa serikali mbili wanaoendelea...
kati ya watu wenye akili na wanaopenda usawa kwa watz wote, huyu nimemkubali. Ameangalia pande zote za waislam, wakristo, wahindu, wabudha, wabohora na wapagani.
Leo watu kutoka makundi mbalimbali wameanza kupeleka maoni yao ili yaingizwe katika katiba inayopendekezwa,
Wafugaji leo wamepeleka yao.
-Je,Ni tume ipi inayokusanya maoni?
-Nani kaiunda tume...
Serikali 3 na gharama zake
Baada ya kuvunjika kwa bunge la katiba juu ya swala la muundo wa serikali, nachukua nafasi hii kutoa majibu ambayo kwa sababu zisizojulikana imeshindikana kabisa...
Waislamu wote karibu nchi nzima nikiwemo na mimi, tulishiriki katika mchakato wa Kutoa maoni ya Katika tume ya Jaji Warioba. Taasisi zote zilitoa maoni kwa maandishi na vinywa vyao. Tume pia...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akizungumza na baadhi viongozi na wajumbe kutoka Chama cha Wakulima Wadogo wadogo wa zao la Pamba Tanzania (TACOGA) katika ukumbi wa...
Leo, Tarehe 22 August 2014 kwa niaba ya mteja wangu Saed Kubenea, nimefungua shauri Mahakama Kuu ya Tanzania nikiomba yafuatayo;
1. Mahakama Kuu itoe tafsiri sahihi ya Kifungu cha 25 cha Sheria...
Katibu Mkuu wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God Tanzania, Brown Mwakipesile
KANISA la Evangelical Assemblies of God Tanzania, kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Brown Mwakipesile limetoa...
Mjumbe Wa bunge la Katiba Bi.Teddy Ladislaus Patrick aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa, ni dhambi kuendelea kwa bunge la Katiba kwa kuwa Katiba haitapatikana kama...
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Katiba wamependekeza kuongezwa muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano ya sasa hadi saba katika kipindi kimoja.
Wajumbe hao wanadaiwa kutoa wazo hilo ndani ya...
BARAZA Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, limesema kipengele cha uwepo wa Mahakama ya Kadhi kwenye Katiba Mpya, hakiepukiki hivyo ni wajibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kuhakikisha...
Hiki ni kituko kikubwa kupata kutokea,katiba mpya inayajadiliwa,rasimu ya warioba na rasimu ya ccm kimsingi zina ngazi za juu za mahakama kama vile mahakama kuu na rufaa,cha ajabu imewekwa...
Bunge Maalum La Katiba bado linaendelea halijasitishwa kama baadhi wanavyozusha. Kulisitisha ama kuliahirisha ni kuongeza gharama maana tangu mchakato uanze ni miaka mitatu sasa imepita.
Prof...
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba,
Ali Omar Juma, amesema hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueleza kuridhishwa na utendaji wa Bunge hilo wakati hakuna mwakilishi aliyechaguliwa kwa kura na...
Hiki ni chama kikongwe ambacho kilipigania umoja wa taifa bila haya,lakini ni wazi sasa kimejaa haya kwa kuwa kimeamua kusaka kura hata kama itamaanisha kuvunja nchi. Sasa hivi chama hiki kimeamua...
Wakuu,
Kuna wakati nilianzisha Topic humu nikimshauri Mh Tundu Lissu na wana-UKAWA wenzake kuwa wajiuzulu nafasi zao za Ubunge wa Bunge la Muungano kwa kuwa nafasi hizo ni "batili" kwa sababu wao...
Tangu UKAWA waondoke BMK kwasababu ambazo sote tunazifahamu kumekuwa na mashinikizo mbalimbali kutoka kwa viongozi wa dini kuwataka UKAWA kurudi BMK. Lakini viongozi hao hakuna hata mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.