Wakuu salamu kwenu., nimekuwa nafuatilia kila mdahalo wa katiba uliopita ila kwa bahati mbaya naona nguli wa mambo ya katiba kaachwa najiuliza kwa nini waandaaji hawamualiki.? Mwenye taarifa anijuze
Hiki ni kikundi cha wajumbe wa chache sana kwenye BMK.
BMK linaendelea vizuri kabisa hapo Dodoma kama tunavyo habarishwa na vyombo vya habari mbalimbali hapa nchini.
Makundi mengi ya kijamii...
Dodoma. Kamati za Bunge Maalumu, zimekamilisha kazi ya kujadili na kuchambua Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, huku ikiwa imefanyiwa mabadiliko makubwa tofauti na...
Endapo Mh. Rais Jakaya Kikwete atafanikisha mchakato wa kuandaa Katiba Mpya, na ikapatikana Katiba nzuri na muafaka wakati huu wa kipindi chake, basi atakuwa amejiwekea hazina (Legacy)...
Mzee Baregu yupo EATV nw,, tumsikilize wakuu.
Wanajamvi,
Akihojiwa na kituo cha habari-Live. amejibu pia hoja ya kikao cha maridhiano wakati huu ni kwenda kukubaliana kuahirisha Bunge Maalum sio...
Nimeona jana kwenye luninga na nimesoma leo kwenye magazeti niliyobahatika kuyapata ya Mwananchi na tanzania daima mwenyekiti wa baraza hilo Mzee sita akihimiza maoni ya katiba yapelekwe kwake...
Hi to all I hönour each öne of you JF members
My argument is grounded on the fact that if a President holds any leadeship position in political party being it senior/operational may pose a...
Tanzania imeendelea kuwa ya matukio. Leo viongozi wa dini wako kimya juu ya Yale yanayoendelea Dodoma. Wanasubili hatua za mwisho, utasikia Mchakato haukuwa wa haki, serikali ilipuuza maoni ya...
Mwanzoni sikuamini niliposikia kuwa CCM wameandaa rasimu yao, lakini kwa sasa ni dhahili kuwa kilichosemwa kilikuwa sahihi. Ili kufanikiasha azma yenu naomba kuwashauri yafuatayo:
1. Wajumbe wa...
WANANCHI wengi wa Tanzania wanaunga mkono Rasimu ya Pili ya Katiba ya Tanzania; ingawa wanaunga mkono wabunge wanaoendelea na Bunge mjini Dodoma, utafiti mpya umeonyesha.
Utafiti wa hivi karibuni...
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKITA), limesema tatizo la mahudhurio katika Bunge Maalum la Katiba, limesababisha baadhi ya kamati za Bunge kuchelewa kuanza kazi au kushindwa kuendelea na kazi...
Jaji Warioba amenukuliwa leo na gazeti la Raia Tanzania akisema kitakachopendekezwa na Bunge la Katiba Dodoma ni Katiba ya watawala na si Katiba ya wananchi, anatoa mifano juu ya kinachoendelea...
Mwenyekiti wa Kamati namba saba ya BMK, Brigedia Jenerali mstaafu Hassan Ngwilizi amesema kamati yake imekataa mapendekezo ya kuingiza suala la Mahakama ya Kadhi katika katiba. Ngwilizi ambaye...
Nchi yetu ni maskini sana, hatuna pesa za kutosha kugharamia mahitaji ya msingi kama vile afya, elimu, maji, umeme, ulinzi, mahakama n.k.
Hivyo tungependa kuelekeza kila shilingi katika kusukuma...
Amini usiamini, Mhe. Umeijmaliza kisiasa! Kwishney!
Napenda kukuhakikishia kwamba kwa viwango ulivyovionyesha katika bunge la 9 la JMT, wapinzani wako wangepata shida sana. Nimeangalia Star TV...
Hatimaye kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Ndugu Saed Kubenea kutaka tafsiri ya kimahakama juu ya vifungu vya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba,hasa vihusuvyo mamlaka ya Bunge Maalum juu ya Rasimu...
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, kupitia kundi la 201, Injiania Pamela Maassay, amesema kuwa, uamuzi wa wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wa kususia bunge hilo, ulimsaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.