NIMEKUA JAPO NI KIDOGO.
Nimefikisha umri wa miaka 27, ninaishangaa akili yangu inayoanza kunirudisha miaka kumi na mitatu 13 nilipokuwa shule ya msingi huku ikiniambia itazame jamii yako...
Ni wakati sahihi sasa Tuwe na KATIBA MPYA KATIBA ambayo Watu wote Mil.60 tutatoa Maoni na Mapendekezo yetu na hiyo itaitwa KATIBA ya WANANCHI kwani ndio wenye NCHI.
Watanzania tumechoka kuwa na...
UTANGULIZI
Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae...
Yapata miaka 7 tangu 2015 Mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya ulipokwama baada ya wawakilishi wa makundi mbalimbali katika bunge la katiba kushindwa kuafikiana kupitisha katiba pendekezwa...
Sababu mama ni kuwa Katiba mpya ndio Tiba ya matatizo yote ya Tz,kama ilivyoelezwa kwenye rasimu ya Jaji Warioba na mama alikua Mwenyekiti wa Bunge la katiba anajua zaidi yangu faida za katiba...
Maoni ya kikosi kazi, kilichokuwa kikiongozwa na Profesa Mkandala, kimewasilisha rasmi maoni yake kwa Rais Samia, iliyoyakusanya kutoka kwenye makundi mbalimbali ya wananchi.
Hata hivyo...
Wapendwa, bila shaka kila Mtanzania ana shauku ya kuona Katiba mpya inapatikana sasa.
Nitoe rai kwa wenye mamlaka. Ni muhimu sana kutilia maanani suala la upatikanaji wa Katiba mpya sasa.
Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza...
Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA...
Habari!
Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu.
Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo...
Ifikie hatua tuseme ukweli.
Huwezi mchakato wa mzee Warioba ukaukejeli mchana kweupe ukidhani ni sawa kumbe unatafuta laana tu ya bure.
Tanzania inanafasi kubwa ya kupata katiba mpya na bora...
Vyama vya Siasa ni sehemu ya serikali japo watu wengi wanaukwepa ukweli huu
Itoshe tu kusema Wananchi ndio wenye wajibu wa kujitengenezea Katiba yao na siyo wanasiasa
Mungu wa mbinguni awabariki
Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu...
Tanzania inayo Katiba halali hivyo haijitajiki Katiba mpya kana kwamba tunaasisi taifa lingine.
Wanachopigania Chadema ni Toleo Jipya la Katiba ya JMT yenye marekebisho makubwa.
Ukielewa maana...
Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:-...
Watanzania!
Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo!
Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe!
Wakati kelele za mchakato...
Hii ndio taarifa inayotembea mitandaoni kwa sasa, hasa baada ya kikosi kazi cha serikali kinachoongozwa na Profesa Mukandala kusoma mapendekezo ambayo hayafahamiki yalikookotwa.
Mukandala huku...
Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya...