KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya...
15 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu familia ya JF. Naenda kwenye hoja hapo juu. Kumekuwa na mipango ya kutaka kubadilisha mfumo wa uchaguzi na mihula ya Urais humu nchini. Mi binafsi napendekeza na kama ningekuwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiingalia katiba ya Tanzania, ni kama vile ilifikiriwa kuwa wakati wote Rais atakuwa Mtanganyika. Tanganyika iliungana na Zanzibar kwenye mambo machache, nadhani wakati ule yalikuwa 17 tu. Hayo...
14 Reactions
82 Replies
6K Views
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna. Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
✳️NAOMBA NISAIDIENI KUMWAMBIA MAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, TATIZO LA NCHI HII NI NINI❓ 🔵Na:Shujaa Charles Richard Mwaisemba(©️®️Ⓜ️) Kama ningelipata nafasi ya kukutana na Rais wangu Samia...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!? Leo 12:15pm 24/04/2022 Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBA MPYA (SEHEMU YA PILI) Mwendelezo......... 🔵 KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️) Tabata,Dar,Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni...
18 Reactions
112 Replies
6K Views
Salaam, Kwa wenye access na ITV, Watch ITV now, Prof. Issa Shivji, anashusha mhadhara kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya. Kwa wale ambao mtakikosa kipindi hiki leo saa hizi hapa ITV, angalieni...
4 Reactions
53 Replies
11K Views
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU. Sema amina Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
UTANGULIZINajitokeza kuandika walaka huu huku nikitambua ya kwamba Rais Nyerere alisema maadui watatu wa taifa ni ujinga ,maradhi na umaskini lakini mimi Kaberwa nasema maadui wetu ni uvivu,uoga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa. Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga...
4 Reactions
7 Replies
739 Views
Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Back
Top Bottom