Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba.
Kikwete alisema Dr Mvungi alikuwa anapiga...
Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu.
Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi.
Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe...
Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani.
Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo.
Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF...
Ningekuwa ni mpinzani wa kweli ningesema kweli daima kwamba wananchi hawahitaji katiba mpya sasa zaidi ya wanavyohitaji maji, umeme na huduma bora za afya na elimu.
Nikiwa kama mpigakura sihitaji...
Nilimsikiliza Freeman Mbowe, ana kiu ya katiba mpya.
Nikamsikiliza Tundu Lisu, ana kiu ya katiba mpya.
Nikamsikiliza Hamad Rashid, haitaji katiba mpya.
Nikamsikiliza Zitto Kabwe, ana kiu ya...
Wasalaam,
Nimekua nikijiuliza maswali mengi sana kuhusiana na mustakabali wa nchi hii na maendeleo yajayo ya watoto na wajukuu zetu.
CCM imekua madarakani kwa miaka zaidi ya 60 sasa tangu tupate...
Kuna viongozi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wanasema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu...
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025...
Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima...
Kwa nini mjadala wa Katiba ni muhimu?Sababu ni kuwa.
1.Hii ya 1977 iliandikwa ili kuuimarisha mfumo wa siasa za Chama kimoja na ililenga kukifanya chama cha Siasa kuwa juu ya hata Mihimili ya...
Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya.
CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu.
Vyama vingine vya upinzani...
Nimesikia viongozi wengi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wakisema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya...
Kwa kuzingatia usalama wa nchi yetu na usalama wa kuendesha nchi nashauri kama Mama ataridhia mabadiliko ya katiba mambo haya yanafaa kuongezwa tu kwenye katiba iliyo na machache kuondolewa...
Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo.
Walisema umoja ni nguvu.
Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote.
Wako...
Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi...
Kitendo cha Rwekaza Mukandara kuwa mwenyekiti wa mchakato wa Katiba Mpya ni mkakati wa kuikwamisha tena, Mukandara hana historia nzuri kwenye siasa za vyama vingi kwani ni kada mwaminifu wa CCM...
Madai ya kupata katiba mpya ni mapambano ya haki ambayo hayawezi kukamilika bila ya kupata katiba nyingine tofauti na iliyopo.
Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya wapiganaji (Mola awafanyie wepesi)...
Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya?
Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa.
Tukishajua wako wangapi ni lazima...
Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro.
Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.