KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana. More details zinafuata
5 Reactions
56 Replies
8K Views
Yaani katika vitu ambavyo vimenichefua leo ni kusikia eti mojawapo ya kamati za bunge la katiba wanajadiri uwepo wa mahakama ya kadhi. Ivi hawajui kama wanataka kuleta mzozo usio wa lazima...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchakato wa kupata katiba mpya unaendele kwa bunge maalumu kujadili sura mbalimbali kupitia kamati zake. SWALI kubwa ninalojiuliza mimi ni kwa nini mwenyekiti wa bunge maalumu na chama chake cha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Katiba kuongeza kipengele cha ardhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Mahusiano, Stephen Wassira, amesema Katiba Mpya inatarajiwa kuwekwa kipengele kitakacho iweka ardhi kisheria na...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
MZEE Joseph Sinde Warioba, nimekuwa nikimheshimu kama Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu. Nilimwamini na kumchukulia kama mmoja wa wanafunzi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanafunzi vyuo vikuu vyote tanzania wanasema katiba mpya ni mali ya wananchi ambayo ikipatikana itaenda kutatua nakupunguza kero zinazo wakabiri wakulima,wanafunzi,walimu,na wafanyakazi wengine...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Najiuliza je baada ya katiba hii muungano kupita .je tutatunga katiba ya Tanganyika or let say Tanzania bara ? Maana aiwezikani Zanzibar watunge katiba yao wapendavyo wakiwa wenyewe alafu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TANZANIA NA UTITIRI WA VYAMA. kuna wakati nilishawahi kuambiwa ati wakati mfumo wa vyama vingi unaingia mwaka 1992,Watanzania walisita na walikataa kabisa kuingia huko,naskia eti kwa busara za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu yangu Mwanakijiji, Nafahamu kuwa unazo softcopy zote za Viambatanisho (Randama zote) za Rasimu ya II ya Katiba. Ni vyema watanzania ambao hatukupata fursa ya kuona hivyo viambatanisho...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Nimesikia mara kwa mara watu maarufu na hata wale ambao siku zote ni "outspken" na ambao wamekuwa wakim-criticize raisi Kikwete hadharani wakimsifu eti alikuwa na nia njema ya kuanzisha mchakato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wenye tamaa ya madaraka wameamua kutengeneza katiba inayowapendelea wao kama watawala na ni katiba iliyodharau maoni ya wananchi. Wananchi ambao ndiyo waliowaweka hao watawala madarakani. Watawala...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kurasa 23, je tushushe zote au ?
7 Reactions
36 Replies
7K Views
Katika mdahalo wa katiba Mpya Ubungo Plaza Tundu Lissu alisema kwamba katika kundi la 201, Rais Kikwete alichangua wajumbe 166 ambao walikuwa ni makanda wa CCM. TL alifikia hatua ya kuwataja kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Said Arfi (pichani) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)amezitaja sababu za kurejea katika bunge...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Najaribu kulinganisha "homa" waliyonayo UKAWA juu ya Serikali 3 kama wananchi wa kawaida wanayo. Ukweli ni kwamba wananchi wako busy na shughuli zao za kila siku za kutafuta mkate! Kwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Linatoka kwenye zaburi 1
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania anatarajiwa kuahirisha Bunge Maalum la Katiba ili kusaka suluhu baina ya CCM na Ukawa, imethibitishwa. Tayari kamati ya uongozi ya...
13 Reactions
132 Replies
18K Views
Hiki kikundi kimekuwa kikipiga makelele na kucheza mdundiko ambao hauna maadili kwa watoto wetu. Kelele zao zinasababisha majirani tusilale. Mimi kama mwenyekiti wa mtaa nimewaita kwenye mkutano...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tumekuwa tukiambiwa kinachojadiliwa Dodoma ni Rasimu Feki na siyo ile ya Tume ya Jaji Warioba. Binafsi nimehangaika kuitafuta hiyo Rasimu feki sijafanikiwa kuipata. Naamini humu JF kuna watu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
CCM is on mission impossible, shovel muck against the tide.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom