Wadau;
Wengi wa wananchi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu mwenendo wa Bunge la Katiba kuendelea ili hali ukweli ni kuwa kundi la wanaotetea maslahi halisi ya Wananchi (UKAWA) hawapo na pia...
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amesema ameanza kukusanya saini za Watanzania wanaopinga kuendelea kwa Bunge hilo ili kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania...
Na Daniel Mjema
Dar es Salaam/Moshi. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wabunge wake ambao ni Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuunga mkono kauli ya Naibu Katibu...
Hiki kikosi cha Ukawa bado sikielewi vizuri kama kinatumiwa na Serikali ILI TUSIPATE katiba AMA kinatumiwa na Mataifa ya Nje ili KUVURUGA AMANI
Maana wanadai maoni ya rasimu ya katiba...
Baada ya UKAWA kujitoa kushiriki BMK palikuwa na miito toka sehemu tofauti ya kuwataka kurejea humo lakini imeshindikana, sasa pana maombi (sijui kwa nani) ya kutaka BMK lisitishwe/vunjwa kwa kuwa...
Tanzania Daima
SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amejibu akisema si busara kutumia vibaya...
Dodoma. Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge la Maalumu la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka Kituo...
Mwenye taarifa sahihi za wadhifa alionao Lukuvi kwenye bunge maalumu la katiba, atupashe habari.
Nimeshitushwa na kauli zake katika tangazo linalotolewa na ITV, ambapo anategemewa kuwa mgeni...
Wazalendo na wanamageuzi wenzangu, nitumie fursa hii kuwaasa wanaharakati Mama Ananilea na Bi Hellen Bisimba kuhusu kusudio la kuufikisha mchakato wa Katiba Mpya Mahakamani, Maana ukifungua...
Wana jf, mlioangalia mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia ITV mtakubaliana na mimi kuwa ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena yaani recorded kwa mafufaa ya...
Rais saidia nchi hii yenye amani tele saidia kufunga hili bunge letu wanaotumia pesa zetu bure kwa janja ya bunge la katiba, bunge gani la katiba lenye wabunge takribani 50%? hizi hela zetu kweli...
na East African Eagle;
Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote
Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja...
Naibu Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba amesema kwamba hakuna fedha za kuwalipa wabunge wa Bunge Maalum la Katiba na ameomba bunge hilo lisitishwe. Nchemba alisema hayo wakati akiongea na...
Wakati huu ambao Bunge Maalumu la Katiba limeingia katika awamu ya pili ya kujadili na hatimaye kupitisha Rasimu ya Katiba mpya, tulitarajia kwamba wajumbe wake, wakiwamo viongozi wa Bunge hilo...
0Tundu Lisuu na Slaa wamekuwa wakitoa vitisho hadharani kwa wajumbe wa bunge la katiba toka vyama vyao wakiwashinikiza wasiende bunge la katiba.Hii ni kinyume na katiba ya nchi ambayo iko juu ya...
Nitangaze dhahiri kwamba katika uwasilishaji wa mawazo yaliyo huru kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni mmoja wa wanaovutiwa na kuukubali muundo wa serikali mbili.
Ninazo sababu...
Kificho alikuwa na hekima,Kificho alikuwa na busara.Tulimwona wote wakati wa kutunga kanuni za kuendesha BMK.Alikuwa na uvumilivu mkubwa,alikuwa mpole,alikuwa mnyenyekevu na aliweka maridhiano...
Nimepata tetesi kwamba bwana Samwel Sitta amekuwa katika hatihati ya kupata wana CCM kutoka kundi la 201 ili wasome maoni ya wachache.
Mara baada ya maoni ya wengi kusomwa bungeni, na ili...
TAREHE: 09/08/2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUOMBA RADHI KWA KUFIKA MAENEO YA BUNGE
Jana kunabaadhi ya vyombo vya habari viliandika kuhusu mimi kufika maeneo ya bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.