KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katika Mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, uliofanyika tarehe 04/08/2014 mjini Dar es salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni vema wajumbe wa Bunge maalum la katiba mnapokula pesa zetu mkaweka kumbukumbu za pesa mnazopata ukiacha mbali posho ambayo haikwepeki,pesa ya chakula na malazi na matibabu muweke records maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaharakati wa Kituo cha Haki za Binaadamu wamewaonya "wamiliki" wa bunge maalum la katiba kutokuwapuuza UKAWA kwa sababu hawako peke yao.Bisimba,Onesmo,Ananelia Nkya na Sungusia wameeleza wana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii kambi haisikiki tena, badala yake serikali imechukua nafasi yake, mawaziri wa serikali ndio wamekuwa waongeaji wakuu kama vile suala liko katika bunge la kawaida pale ambapo serikali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mdahalo wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kurushwa juzi na ITV umeelezwa kuwa uliotoa mafunzo makubwa kwa watu wengi katika maeneo mbalimbali nchini kuhusu mchakato wa Katiba...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamvi habari. Kuna habari nimetonywa na jamaa yangu ambaye ni mwalimu katika shule moja jijini Dar. Mtonyaji anasema kuna mwaliko umetolewa kwa walimu kuhudhuria kongamano litakalofanyika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SIRI YA CCM: NA MFUMO WA KIZAYUNI Juu ya Zanzibar na Wazanzibari Written by zamko -//- 08/08/2014 -//- Habari -//- Maoni 4 Ndugu Wazanzibari na Watanganyika ( Watanzania kwa ujumla). Nachukua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku ikitokea nape amekufa sitolia kama alivyokufaga IDD Amin kwa kupanga kumuua na kuwaua makamanda wetu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM ni wanafiki sana. Wamekumbatia mchakato wa katiba kama vile ilikuwa hoja yao. Wanajifanya ndio watetezi wakuu wa kusimamia mawazo ya wananchi katika katiba mpya wakati hawajawahi kutaka katiba...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WABUNGE WA CHADEMA KUONEKANA DODOMA Kumekuwepo na madai yanayosambazwa kupitia njia mbalimbali za upashanaji habari kuhusu baadhi ya wabunge wa Chama cha...
7 Reactions
119 Replies
18K Views
kuna baadhi ya media nimepitia hivi karibuni, imenishangaza kuona kwamba mh. Zitto akijinadi kwamba yeye hayuko upande wowote kati ya wanaopigania katiba mpya(Ukawa na chama dola), hii inahusu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Nadhana sote tunafahamu kwamba Chadema ndo chama kikuu cha upinzani hapa nchini kwa sasa na pia chama hiki kimeungana na vyama vingine vya upinzani kutengeneza umoja wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna gazeti moja (mimi ndiyo leo nimeliona kwa mara ya kwanza, na hata jina sikulikariri na nilidhani ningenunua nakala baadaye) limedai wajumbe wa kile kinachojulikana kama UKAWA wamehongwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza nawasalimu! Hivi ni katiba gani inaandikwa kwa ushindani? Je kama rasimu ni fake? Je BMK ni halali? Rasimu ipi wanaijadili? Je Kikwete aliruhusu vipi rasimu tena kwa kuisign kama ni...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
BMK limesambaratika kimawazo na kivitendo baada ya kugawanyika vipande zaidi ya vitatu. Katika bunge hili kuna makundi haya matatu moja kundi linaundwa na vyama vya upinzani -Ukawa, kundi la CCM...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mbunge Said Arfi wa Chadema akijisajili kushiriki Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma jana. Wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa waliojisajili kushiriki...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Taarifa iliyoripotiwa na gazeti mojawapo nchini zinamwonesha Mwanasheria wa CHADEMA na UKAWA akipiga biti wajumbe wa UKAWA kuingia kwenye vikao vya bunge la katiba linanaloendelea huku akieleza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni ukweli uliodhahiri kwamba asiyekuwepo hanyolewi , na ndio utakao timia mara baada ya mchakato . Wajumbe toka zanzibar watakwamisha mchakato wakati wa kupiga kura. Ukifuatilia data...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati bunge maalum la katiba likiwa limeweka kiporo sura namba moja na sita zinazozungumzia muundo wa serikali, mwenyekiti wa kamati namba moja ummy mwalimu amesisitiza kuwa sasa rasimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa siku za karibunui nimekuwa nawasikia viongozi wa CCM na juzi pia Sitta na baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la katiba wakidai kwamba sasa wanaenda kujadili mambo ya wananchi. Nimekuwa...
1 Reactions
0 Replies
872 Views
Back
Top Bottom