KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wanasiasa na Vyama vyaoo, Watanganyika na Wazanzibari wanamtazamo gani kwa mbunifu wa jina la TANZANIA alitumiaa dakika 5 tu.
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Wapo Wazee walioshuhudia mengi zaidi kabla na baada ya Uhuru. Mzee EDWIN MTEI, NDESSAMBURO, AUGUSTINE LYATONGA MREMA. Tukizungumzia vijana ambao wameweka historia katika taifa hili ambae...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwako MH. sitta, Ume kalia kiti cha uwenyekiti kwa sababu ulichaguliwa tu na wajumbe wenzako kwa imani kuwa utawaongoza vyema, pengine usipo kuwepo leo au kesho atakalia mjumbe mwingine na bunge...
0 Reactions
4 Replies
962 Views
Mh. Harold Sungusia, nakushauri wewe na LHRC, kwenda mahakamani KUSITISHA UPUUZI unaoendela sasa katiba bunge la katiba. Pamoja na kuwa kama ulivyosema mnapima hasara na faida, kutokana na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Limeambatishwa hapo katika PDF File
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Gazeti la raia mwema limeandika ORODHA ya majina ya wabunge 16 wanaotafutwa ili Bunge Maalumu la Katiba (BMK) liweze kutimiza akidi ya wapiga kura watakaoweza kupitisha Katiba imepatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni maoni yangu kuwa kinachoendelea ndani ya UKAWA, kuwazuia wajumbe wake kuhudhuria vikao vya BMK ni ubabe usiomithirika katika ulimwengu huu wa demokrasia. Ninaamini lipo kundi kubwa la wanaUKAWA...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Haya ni maneno ya Mh Leticia Nyerere, baada ya yeye kuanza kuhudhuria BMK wakati wana UKAWA wameweka mgomo. Hii ni kauli ya kishujaa kabisa, hata watoto wake watamkumbuka. Mandla, Wa Dodoma.
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimesikiliza hotuba nyingi za Mh. Rais na hata maswali anayoulizwa na nimegundua namna yake ya kujibu maswali ya wananchi hairidhishi, kwa maana nyengine hujibu bila kuheshimu swali kwa taadhima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimemwona saidi arfi mbunge wa chadema akiwa dodoma.naamesema vyama vya siasa visiwabane wao.hili sio bunge la vyama vya siasa.hili ni bunge la katiba. kayasema hayo live itv habari usiku huu
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama lilivyo jina ni umoja wa katiba kwa hy km ilivyokuwa nia yetu katiba ibadilishwe kwa hy uwepo wenu ni muhimu bungeni kuliko tunavyofikiria vinginevyo hata umoja huu utakuwa hauna maana km...
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Nashangaa na kujiuliza haswa maana ya usemi huu unaopendwa kutamkwa siku hizi kuwa Katiba ni jambo la maridhiano ,hivi maridhiano haya ni baina ya nani na nani ? Je ni maridhiano au makubaliano ...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanasiasa wa Kiingereza anayeitwa Harold Wilson alishawahi kusema, A week is a long time in politics. Kwa siasa za Tanzania, ninaweza kusema, A day is a long time in Tanzania politics...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Kwa wale walio karibu na Tanganyika Law Society. Tunaomba msaada video ya debate iliyo andaliwa na Tanganyika Law Society. Inasikitisha sana karne hii upatikanaji wa youtube video za bunge la...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Huyu ndiye Christiano Ronalda wa ukawa na timu yake. Tanganyika yetu tutaidai kwa haki mpaka ipatikane.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katiba sio muundo wa serikali pekee na ni lazima tupate suluhisho kwenye swala hili ili tuwe na katiba mpya. Swala la muundo wa muungano liwekwe moja kwa moja kwa wananchi kupigia kura halafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Hamad Rashid Mohammed Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Hamad Rashid Mohammed, amesema ni lazima Bunge hilo liandike upya katiba kwa kuwa lina mamlaka ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Minaona mchakato wa katiba hauta tengamaa kutokana siasa kushamili katika bunge la katiba
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Tatizo kubwa lililopo kati ya hawa watawala wa CCM na Tume ya Warioba ni kwamba hii raimu ya Pili ni TRANSFORMATIVE. Kwa mujibu wa Warioba hii raismu italeta mageuzi makubwa katika nchi na hivyo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Katiba ya nchi haiwezi kuandikwa bilamaridhiano ya makundi yote. SitakwendaDodoma licha ya ushauri mbalimbali kwambanikasemee ndani. Nitakwenda kwenye Bungela Katiba pale tu nitakaporidhika kuwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom