Ni dhahiri kinachoendelea bungeni kwa sasa ni matumizi tu mabaya ya fedha za walipa kodi.Fedha zetu zinaliwa huku hatma ya shughuli yenyewe ikiwa shakani.
Ni ukweli usiopingika kwasasa...
Katika vitu ambavyo huwezi kutarajia ni kitendo kilichotokea jana cha mbunge wa viti maalum bi leticia nyerere kutinga bungeni na kusaini kitabu cha maudhuria kuashiria uwepo wake bungeni...
Kufuatia hutuba ya Mwenyekiti wa BMK leo Tundu Lissu ameandika haya yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Facebook
Mbali na Kulaani vikali kauli ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Ndugu...
Nimekuwa nikiwasikiliza baadhi ya wanasiasa wa CCm wakisema Katiba siyo Mwarobaini wa Matatizo ya Wananchi Je kuna ukweli gani katika matamshi haya? Nijuavyo mimi ni kwamba katika nchi ya...
N chi yetu imesha kuwa kawaida kuongozwa na mawazo ya wajanja wanja na wapayukaji na tumepoteza uzalendo kabisa .
Hivi sasa Tanzania Tumekubali kabisa kina LUSINDE , Maji marefu na na...
Baada ya vikao vya jana kumalizika kwa amani na utulivu huku kukiwa na mahudhurio makubwa ambayo hayajawahi kutokea kwenye siku za awali wabunge wa bunge maalumu la katiba jana walimaliza kujadili...
MAKUHANI WOGA
Katika mapumziko ya Bunge la Katiba kabla ya kuanza tena Agosti 5, wananchi tulitegemea viongozi wa kiimani (Dini) kusimama na kutoa miongozo ya kweli na haki kwa wajumbe wa Katiba...
Amaa kwa hili la katiba mpya hakika ccm wanapigana kupitisha mambo yao yenye shabaha ya kuendelea kulinda maslahi yao binafsi na chama chao,hainiingii akilini hata kidogo yaani mchakato wa katiba...
Ukiijua historia ya mchakato wa Katiba mpya tangu ulipoanza inaweza kukusaidia kujua kwanini mambo yapo kama yalivyo sasa
Kwanza, naamini Rais alianzisha huu mchakato wa katiba mpya kwa nia tu...
KAULI NZITO ZA WAZEE
"Katiba inavunjwa, Rais anachekacheka tu".
Mzee Joseph Butiku.
"Siku hizi hakuna UCHAGUZI, kuna minada tu, mtu yeyote mwenye pesa siku hizi anaweza kununua uongozi".
Jaji...
Watanzania wenzangu, tutambue kuwa kinachoendelea kwa sasa huko Dodoma katika Bunge Maalumu la Katiba (BMK), ni Uhaini, unafiki, utapeli, ufisadi na Uzandiki mkubwa (subversion) unaofanywa na...
TAARIFA KWA UMMA
YAH: KUTOSHIRIKI AWAMU YA PILI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA.
Tafadhali husika na somo hapo juu.
Mtakumbuka kuwa Chama chetu kwa kushirikiana na vyama vingine vinavyoounda Umoja...
Heshima na wingi wa baraka ziwashukie wana JF wote
Kuna sehemu nilipita huko Facebook nkakuta habari inayosema kuwa Bunge la Katiba limeahirishwa mpaka tarehe 2/9/2014 kuna ukweli wa hizi...
Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mara wameibuka na tuhuma na lawama dhidi ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba wakidai kuwa Jaji Warioba ni msaliti kwa Mwl Nyerere kwa kuwa Nyerere alianzisha...
Bunge la katiba bila makubaliano ni kupoteza muda, pesa na heshima ya bunge hilo. Hao wabunge 200 wa kuteuliwa hawata piga kura wengi wao Kama watajua wananchi wataipinga katiba hivyo baada ya...
Katiba ni agano na mkataba kati ya wanadam na Mungu namna na jinsi wataka ishi ndani ya taifa lao,tena maoni ya kila mmoja lazima yaheshimike na hasa ya wananchi wa kawaida kwani wao ndio...
Si kuna hatua ya mwisho ambayo wananchi tutaamua? Sawa, hivi sasa mko kiwanja chenu cha nyumbani, mtakuja tu kwetu wananchi, tutawaonyesha ni nini chenye tunataka. Huku hatulali, siku 90...
Ni vizuri watu wa idara ya habari wakaandaa sms fupi,zikasambazwa kwa wananchi mikoani kupitia viongozi wa kanda au mikoa kupinga mchakato wa katiba,na zitoe hamasa kila mtu amtumie mwenzake,tuna...
MM nikiwa mtanzania na mzalendo wa nchi hii nimemuona rais wangu KIKWETE kama shujaa sababu;
1. wakati wananchi tunalalamika juu ya mustakabali wa taifa letu kwann hatupati maendeleo kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.