KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
kwa wale ambao walifatilia mdahalo ambao jaji warioba na butiku alikuwepo ulivutia hisia za watu wengi sana hususani wenzetu na sie ambao hata hatujui kinachojiri katika RASIMU FEKI mpaka babu...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Wanajamvi huyu mzee,siku nyingi mlikua hamjamjua tu,ni mpenda sifa,mwenye tamaa,na pia ana roho mbaya sana,na ,alipo mshinda mzee Msekwa,alijaa misifa na kichwa kikawa kikubwa,alipo fanyiwa zengwe...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo ya wanaozungumzia mchakato wa Katiba mpya nje ya Bunge Maalumu. Amesema Bunge hilo lipo kihalali na lina haki ya kujadili na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa wale wanaopinga serikali tatu, naomba ufafanuzi usiozidi mistari Mitano (Kwa Muhtasari), nini kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Zanzibar? Namaanisha Rais wa jamhuri...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kauli ya Warioba imeungwa mkono na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wakati akichangia hoja ya mabadiliko ya kanuni ya Bunge hilo kwa kulitaka bunge hilo kujitathimini iwapo baada ya mjadala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dar es Salaam - Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba nitoe maelezo yatakayosaidia kuweza kuleta muafaka wa makubaliano kati ya ukawa na ccm. Nawaomba au nawashauri ukawa wawaulize ccm swali hiliii.. Jee ccm wapo tayari kuingia mjengoni na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wakuu,leo ni siku ya pili toka kuanza kwa bunge maalum la katiba jana tar 5/8/14.ni siku ya pili kuendelea kufuja pesa za watanzania wanaopambana usiku na mchana kujinasua na maisha ufukara...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
- Jamani nasikitishwa sana na hii idea ya Wabunge wa Katiba Dodoma of how wanapoteza muda mwingi sana kuongelea non ishus, I mean toka wameanza Asubuhi nipo hapa nawaangalia nasikia kutapika U...
9 Reactions
110 Replies
10K Views
Huyu bwana anajua kwamba bunge halitakuwa na maamuzi yoyote ya kura,lakini kaliitisha na analipa watu posho, huu ni ufisadi mkubwa kwa kuwa anajua fika kwamba haiwezekani katiba ikapatikana bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wapenda amani na utulivu salaam! Napenda kuonesha wasiwasi wangu juu ya kundi la watu wachache ambao kimsingi ni wawakilishi wa wananchi. Wasiwasi wangu unajengeka katika hali ya kuzuka kwa...
0 Reactions
6 Replies
993 Views
Hizi serikali mbili za CCM ambazo hazikuwahi kujadiliwa katika utaratibu wa bunge la katiba na makundi mbalimbali na mabaraza ya katiba kuhusu muungano wanazotaka kutuletea ni nini? Yaani...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Katika pitapita zangu mitaani dar nikakuta watu wakizungumzia UKAWA kwa uchungu mkubwa...mtakosa Kura za mashabiki wenu..angalizo rudini hata kesho
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema serikali ingejua kuwa suala la Muundo wa Muungano litaleta mvutano kiasi hiki wangeanza na kura za maoni kwa wananchi kuwauliza muundo wanaoutaka. Source : Mwananchi
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakuwapo mjini Dodoma kwa siku 90 kwa lengo la kukamilisha mjadala na kupitisha Rasimu ya Katiba itakayokwenda kupigiwa kura na wananchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huko Bungeni CCM na 201, acheni kujadili watu, jadilini hoja. Watanzania wanataka suluhisho la kero za muungano, acheni mipasho. Watanzania wanataka kupata suluhisho la migogoro ya ardhi, ajira...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naangalia TBC 1 naona wanaonesha series ya KICHINA iliyotafsiriwa kwa KISWAHILI. Vipi kuliko BUNGE LA KATIBA ? mnajua sababu mtujuze.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
http://www.mwananchi.co.tz/Katiba/Warioba--Bunge-litapoteza-fedha-za-wananchi/-/1625946/2410172/-/myfpmnz/-/index.html
0 Reactions
1 Replies
896 Views
kwanza kujiona wanaweza kubadili kila kitu katika Rasimu ile kwa kusema wao wamechaguliwa na wananchi, Ni ajabu sana mtu mzima kutokuelewa tofauti ya Bunge la kutunga sheria za nchi na Bunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kawaida nawapatia habari mpya na za jikoni.CCM hivi sasa inasaka wabunge 16 tu kutoka zenji kuweza kupata theruthi 2 kwa upande wa zanzibar.hapa CCM inacheza na takwimu tu,waliosusa wataisoma...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom