KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Nimefanya uchunguzi nikagundua kuwa wabunge wengi wa Kigoma, Kanda ya Ziwa, kanda ya Kaskazini, Mbeya, wabunge wa Zanzibar hawapo. Ni dhahili kuwa mnatumia mizizi yenu ya miaka mingi kutungia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaani we wacha tu majangili wamevamia bunge la Katiba na kutaka kuilangua rasimu ,mafisadi walitaka kuifisidi Katiba tarajiwa .nasema kama si UKAWA waTanzania tungeumia vibaya sana ! Hebu fikiria...
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Pamoja na maneno yote,mijadala yote, na kusemwa kama wao ndio chanzo cha mkwamo wa katiba. bado hawa watu hawana nia ya kubadilika. na watu wanaosema UKAWA warudi kwa lipi? usiseme warudi tu bila...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Jana nilikuwa mmoja wa watazamaji ndani ya ukumbi wa Nkrumah UDSM. Pale kulikuwa na makundi mawili yanayokinzana, moja ni kundi la Ukawa ambalo wengi wao ni wanafunzi wa palepale UD. Kundi la...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
MAONI KUHUSU KATIBA MPYA Kwanini mambo yote yawe ya Muungano Kufuatia mgogoro uliopo baina ya pande mbili za kisiasa kushindwa kufikia muafaka juu ya muundo wa serikali ningependa kusema tatizo...
17 Reactions
41 Replies
4K Views
Kusema kweli Bunge limeshanajisiwa na halikosheki na chochote kitakachotokea au kitakachotokana na bunge hilo kitakuwa hakina maana ni chenye kuingia walakin.Na ile sifa ambayo labda tungesema CCM...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Yaani kama mtu hajawahi kusikia kitu kinaitwa mambo ya ajabu ajabu basi awasikilize CCM wanavyowakilisha rasimu yao aka Rasimu m'badala ,humo atayasikia mambo ya ajabu ajabu. Hivi watu hawa wana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tukimpata aliyetoa agizo la kufungwa kwa tovuti ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tutakuwa tumembaini mhusika mkuu katika kuvuruga mchakato mzima wa kupata Katiba mpya. Kuna vielelezo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Waswahili hunena kwamba ukiwa mnafiki unapaswa uwe na kumbukumbu nzuri. Wakati wajumbe wa UKAWA walipolikacha Bunge la Katiba, wabunge wa CCM waliwatukana sana na kujinasibu kwamba hata kama UKAWA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mchakato wa katiba usifanyiwe mzaha. Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Tumewatuma wenzetu ili watuletee katiba lakini hawa ndugu wananikumbusha hadithi ya mtego wa panya ambao huingia waliomo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nchi kadhaa nilizosikia wakiandika upya au kufanya marekebisho makubwa ya katiba, mara nyingi rasimu inakuwa imebeba vizuri interests za watawala waliopo madarakani kwa wakati huo. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
hivi dovutwa ni nani na chama chake bado kipo? maana eti anakosoa tume ya mzee walioba.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kila mtu yupo huru kutoa maoni yake kwa hoja na sio matusi. critically thinking ukichunguza wale wote wanaodai serikali tatu wamejaa ushabiki,uzandiki na unafiki.... kikubwa hapa ni watanzania...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Nimegudua kuwa wanaodai serikali tatu sio wananchi wa kawaida ni wanasiasa wanaoishi kwa jasho la wengine kupitia hizo kodi kwa sababu zifuatazo: Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni katika kipindi cha dakika 45 ITV, Wassira analonga na Watanzania
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote! JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna...
3 Reactions
92 Replies
7K Views
Kwanza naomba samahani nafikiri mtandao uko chini nimeshindwa kuweka haya katika maandishi yangu lakini nadhani ujumbe utafika. kwa mchakato wa katiba unavyoenda nawapongeza sana UKAWA ingawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JANA taifa lilisimama saa nne kwa Watanzania kuelekeza masikio na macho kwenye runinga kusikiliza ufafanuzi wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, juu ya upotoshaji wa viongozi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna taarifa za chini chini kwamba serikali ya CCM imeuagiza uongozi wa TBC kusitisha kurusha matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni Dodoma ili kuwanyima fursa wananchi kufuatilia mjadala wa...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom