Wamesema wanazuoni. Wamesema wanasiasa.Wamesema wanaharakati. Wamesema waandishi wa Rasimu.Wamesema wananchi wa kawaida.Wamesema wanyonge na wababe.Wamesema watawala na watawaliwa. Amesema hadi...
Mwanzo kabisa, nilikuwa sielewi chochote kuhusu katiba mpya. Lakini siku zinavyozidi kwenda, ikanifanya nizidi kuelewa nini maana ya katiba mpya na kwanini ina changamoto nyingi. Mimi si...
Natoa msaada wa Ushauri kwa Mh Steven Wassira.
Hakuna chombo hapa Duniani chenye uwezo wa kupingana na maoni ya wananchi !
Mradi iliundwa tume kisheria nayo imetumia fedha na muda mwingi...
Watanzania wenzangu tumekuwa mashabiki mno nadhani huu ndo wakati wa mabadiliko raisi kikwete hana nia ya kupatikana kwa katiba iliyo tolewa maoni na wananchi kwa sababu zifuatazo kufungwa kwa...
KAMA ndivyo, huenda Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza awamu ya pili ya vikao vyake keshokutwa mjini Dodoma, litafanyika bila ya kuwa na wajumbe kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya...
Namshukuru sana Mungu kwa kuwapa utashi Ukawa wa kujitambua na kutoka nje ya Bunge maalumu la katiba, kwani tumetambua ya kuwa mpo karibu na wananchi haswa na sio mapato ya kila siku ya Tsh...
Ndugu zangu watanzania jukumu la kupata katiba bora lipo mikononi mwetu kwa hiyo mtu yeyote anayesababisha kutopatikana kwa katiba mpya ni hadui wa katiba.....wanaharakati na vijana wapenda katiba...
Imefahamika kuna baadhi ya nyaraka ( supporting document) kwaajili ya maoni ya wananchi zimefichwa ili kutudanganya watanzania na kuituhumu tume kuwa imechakachua maoni ya wananchi.
Najiuliza...
Wana JF! Salaam Sana
Pamoja na kuchelewa kutoa wito huu mapama nikiamini kuwa Kikao cha Msajili wa Vyma na CCM kwa upande mmoja na UKAWA kwa upande Mwingine kingepata muafaka. Natoa Rai ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi amepiga marufuku mijadala yoyote inayohusu Katiba na rasimu yake katika maeneo na viunga vyote vya mji wa Dodoma.
Aidha amepiga marufuku mikutano ya...
​
Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe alisema jana kuwa haungi mkono mpango wa wabunge wenzake wa CCM kuendelea na Bunge la Katiba bila maridhiano.
Pengine niwakumbushe wabunge...
Wakuu fuatilieni huu mjadala mkali kati ya mwanasheria wa chama chenye matarajio ya kuchua dola 2015,dhidi ya chama kilicho chakaa na kulaanika cha c.c.em.
-naona dotto ameanza na gwiji la sheria...
Nikiwa katika hospitali ya Jeshi la Wanamaji Kigamboni asubuhi ya leo ambapo nimelazwa kwa kuumwa maralia, nimezama kwenye tafakuri, nikiangaza mchakato wa upatikanaji wa Katiba ya Jamhuri ya Watu...
Ukweli utabakia kuwa ukweli kuhusiana na lengo la kuwepo kwa serikali tatu ,inafaa kila Mtanzania ajiulize umuhimu wa uwepo wa serikali tatu ni nini ?
Wapo wanaopenda kuwepo kwa serikali tatu na...
Kila mara ccm wanapokomalia jambo huwa lina maslahi kwao hii tunatambua na tumeshawazoea. Safari hii kama kweli wameamua kulihodhi bunge la katiba kwa hila kama kawaida yao basi tuwe na uhakika...
Nimekuwa nikitafakari sana mnyukano wa katiba mpya na hasa muundo wa serikali. Ninachokiona ni poor timing ya hii katiba mpya kama kweli ipo.
Nikionacho ni nyakati hizi tulizonazo ambapo...
Je ni kweli zikikubalika serikali tatu ,,,,! tunazo serikali Mbili ya Zanzibar na Tanzania je tukiirudisha ya au tukiizindua ya Tanganyika kutakuwa na tatizo ?
Kwa jinsi MaCCM au Chama tawala...
leo nimefahamu kwamba baadhi ya maoni ya wananchi yaliwekwa kando na serikali na kwamba hoja za tundu lisu kuhusu katiba ni halisi na kweli:watanganyika japo wameonekana kama ni waoga kwa sasa...
Yaaani kurudi kwa Tanganyika nafananisha kabisa na siku tuliopata Uhuru, ni furaha kubwa ilioje kuiona Nchi yangu Tanganyika inarudi ,naiona siku hii ni siku ambayo wale wasiowahi siku ile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.