KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Anawaomba watanzania wawaunge mkono UKAWA kususia kwao mchakato mzima wa Katiba mpaka hapo CCM watakapokuwa tayari kujadili Rasimu iliyopelekwa Bungeni na sio hii mpya inayojadiliwa na Wajumbe wa CCM.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwenye magazeti ya leo yamemnukuu Lukuvi akisema Lissu ndio anayekwamisha mchakato wa katiba na kama Lissu atatumia ushawishi wake basi katiba mpya itapatikana. Swali la kujiuliza je ni kweli...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Kwa wale waliofuatilia mdahalo wa jana unaosemekana kuandaliwa na UDASA pale Nkurumah Hall walimsikia ndugu Lukuvi wakati akitoa maneno ya kufunga mjadala ule akisema kuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna mwanasiasa anapata wakati mgumu kutetea uongo, uharifu na makosa yote ya Ccm ni Lukuvi. Jana alisusiwa mdahalo pale UDASA, lakini si mara moja kuhangaika kujaribu bila mafanikio kugeuza...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Wazee walioalikwa kutoa busara zao katika mdahalo wa Katiba jana walilikoroga baada ya kutoa maoni ambayo yaliwakera wasikilizaji waliokuwa katika Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau! Nimekaa nikafikiria CCM kadri siku zinavyozidi kwenda naona CCM inazid kupotea kila kukicha. Kati ya watu walio baki CCM ambao nina imani nao leo hii wakipewa nafasI ya kukaa mezani na...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
wadau angalieni pole pole clouds tv akitoa elimu ya bure kwa CCM.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau! Nimekaa nikafikiria ccm kadri siku zinavyozidi kwenda naona ccm inazid kupotea kila kukicha.Kati ya watu walio baki ccm ambao nina imani nao leo hii wakipewa nafas ya kukaa mezani na ukawa...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Wadau nimekuwa nikisikia kutoka kwa wachambuzi wa siasa kuwa Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo wajumbe wa Bunge la katiba kutoka makundi maalum wameteuliwa na Rais?, yaani Rais ndie mteuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani hata haeleweki! mara anamshambulia mh rais mara wajumbe wa bunge maalum mara anadai yeye ndio wananchi na kuwa ccm na cuf zitakufa kesho lakini yeye na wananchi watabaki. sijui chadema huyu!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukawa wawatia kiwewe Wassira, Mwigulu, Lukuvi - Katiba - mwananchi.co.tz
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni maneno ya lukuv jana,hv jamani hzo sura zngne misingi yake c imejengwa kutokana na sura ya 2 na 6 yan muundo wa serekali 3
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Eneo litakuwa Ubungo Plaza ( ukumbi wa crystal) Dsm leo 4 august 2014 kuanzia saa saba kamili mchana. MADA Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi sasa katika...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Tupo katika kipindi kigumu cha mpito ambacho tusipokuwa makini taifa litaangamia.Litaangamia kwa kuwa watawala wanashindana na watawaliwa kwa kushindwa kuafikiana mapendekezo ya wananchi...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa waliokuwa wakifuatilia Bunge la katiba awamu ya kwanza mtakubaliana nami kuwa ilikuwa ni aina fulani ya sinema iliyokuwa inarushwa live na serikali ya Tanzania. Hii ni kutokana na matusi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wameapa kuwa hawatarejea katika Bunge la Katiba linalotarajiwa kuendelea kuanzia tarehe 5/8/2014 (Jumanne ijayo). Nimeambiwa kuwa UKAWA wameshindwa kukubaliana...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa wale tunaofuatilia StarTv nadhani wataungana na Mimi kumuunga mkono K.Mkumbo, Huyu jamaa nadhani anatoa Yale ambayo watanzania wengi wangetamani kusema lakini wamekosa pa kusemea( voice of...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia MDAHALO WA KATIBA LEO JUMAMOSI tar 3 itakayorushwa moja kwa moja ITV kuanzia leo saa 8 kamili mchana hadi saa 11 kamili jioni. Watoa MADA watakuwa ni JENERALI...
1 Reactions
446 Replies
37K Views
Kuandika Katiba mpya si kama kuandika makala gazetini au kwenye jarida. Ni mchakato wenye chungu na tamu (Rejea mchakato wa Kenya na matukio yake). Mchakato wetu sasa umegota. Natoa wito kwa...
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Katika hali ya kushangaza viongozi wengi wa ccm wamehudhuria mdahalo wa katiba mpya mpya uliofanyika pale udsm katika ukumbi wa Nkurumah. Wadadisi wa mambo wanaeleza kuwa UDASA wametumiwa na ccm...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Back
Top Bottom