Leo naomba kujadili kile kinachokwamisha mchakato wa katiba.Inaonekana katika kukwamua mchakato wa katiba mpya watu wote na hata watawala wamesahaj tatizo lilipo.
Tume ya kukusanya na kuratibu...
Ili kuweko na umoja na mshikamano zaidi , kuondoa mgongano wa maalsahi ya vyama hapo baadae, tunahitaji kutenganisha maslahi binafsi ya chama kimojakimoja na muungano wa ukawa ili kulinda umoja...
Mi kama mtanzania ninaye hitaji Katiba mpya sioni kama wenzetu wa ukawa wanatutendea haki, na hatua yao yakutoshiriki vikao vya bunge la katiba, hii inawajima watanzania haki yao ya kuwaamini...
Tangu mchakato wa katiba umeanza IPP-Media kupitia vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na EATV kupitia kipindicha HOTMIX vimekuwa karibu kabisa kutuhabalisha juu ya mchakato huu...
Kuna msemo unasema mwenye hekima atajifunza kwa kusikiliza bali asiyekua na hekima atajifunza kwa mazoea,na maanashi tusingojee kama yaliotokea kwa wenzetu wakenya.Tunatakiwa tujifunze kupitia...
Ndugu zangu,
Msafara wa tembo huwa na kawaida ya kutokurudi nyuma,ndio maana porini huzioni nyayo za tembo zenye kwenda mbele na kurudi nyuma.
Ni ukweli, kuwa tembo ndiye mnyama mkubwa porini...
Akihojiwa na Star TV katika kipindi cha Agenda kuelekea 2015,jumatatu wiki hii;Makonda alisema Ukawa wanalipwa kiasi hicho kwa siku ndiyo maana wanakataa kurejea BMK ambako posho ni sh laki tatu...
Dar es Salaam. Kikao cha maridhiano kati ya CCM na Ukawa chini ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kimeshindwa kufikia mwafaka.
Habari zilizotufikia wakati tukioenda...
Serikali mbili hazikwepeki, Bwana Ismail Jussa upo?
Zanzibar huru yenye mamlaka kamili ni jambo la hatari, Inchi ya Zanzibar imekaa kama eneo la kimbinu, kuiachia Zanzibar ijitawale ni sawa...
Akiongea katika mjadala Star TV ametanabaisha kuwa walimu walikaa katika mkutano mkuu wa walimu wakamtuma akatetee rasimu na s3.Na katika mkutano huo walimualika waziri mkuu.My Take:Walimu wako...
Mwanaharakati Marcus anaibana kisawasawa CCM kuacha ubabe.Yuko katika mjadala Star TV.Anasema Ukawa kurudi bungeni ni sawa na mtu aliyejeruhiwa na mamba,leo umwambie arudi majini kupigana na mamba...
KAULI ZA KIZALENDO KWA WATZ
Kuna baadhi ya kauli zimenikosha sana kwenye mdahalo uliofanyika pale Ubungo Pearl Hotel.
1. Tanzania itakuwa nchi ya
kwanza Afrika Mashariki na
Duniani kuwa na...
Ndugu wanabodi kinacho fanywa ccm na ukawa nikutufanya wajinga sisi wanchi maana midahalo yote na mikutano yote havina maaana ccm na ukawa waende bungeni wakazungumzie kule Ukawa wanasema kuwa...
Hakuna dalili zozote zinazoashiria kupata katiba mpya ambayo Watanzania wenyewe wamekuwa na hamu yakuwa nayo kwa kushiriki wenyewe katika kutoa maoni yao katika tume iliyoundwa na serikali (TUME...
Kipindi mdahalo ukikaribia kuisha jana walisema kuwa watatoa tamko kesho j.tatu ambalo litakuwa ni kuwaburuza mahakamani hao wanao endelea na mchakato wa katiba bungeni bila kuwepo kwa ukawa.hivo...
Baada ya kikao cha maridhiano kushindikana jana ccm imefanya mkakati wa kuvwahonga wajumbe kutoka ukawa ikiwa ni mbinu ya kudhoofisha nguvu na umoja ndani ya ukawa, mkakakti huo umefanyika na...
Mbunge wa Simanjiro mh. Chrisopher Ole Sendeka amewataka viongozi wa dini kuombea bunge la katiba ili kupata katiba inayolifaa taifa kwa maisha ya baadae.
Mbunge huyo aliyasema hayo juzi katika...
JOPO la wataalamu wa masuala ya katiba na usuluhishi wa migogoro, limesema chimbuko la matatizo yaliyojitokeza kwenye Bunge Maalumu la Katiba ni kutozingatia misingi ya Rasimu ya Katiba...
Serikali mbili hazikwepeki, Bwana Ismail Jussa upo?
Zanzibar huru yenye mamlaka kamili ni jambo la hatari, Inchi ya Zanzibar imekaa kama eneo la kimbinu (Strategic point), kuiachia Zanzibar...
Katika siku za karibuni, baada ya hoja ya takwimu za waliopendekeza S3 ni wachache kushindwa kukosa mantiki ya kisayansi na kitafiti. CCM sasa imejikita kwenye hoja, kwamba maoni yote ya mabaraza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.