Ni hakika kuwa mchakato wa kupata katiba mpya umeshindwa na jibu ka katiba mpya mwa huu halipo. Kwa wanaojua hesabu kama unakokotoa kupata jibu ukigundua kuwa jinsi unavyokokotoa kuna ugumu...
Mimi nitauliza wee hadi nipewe jibu. Hii tume ya Warioba walipata wapi maoni ya kuunda shirikisho badala ya Muungano tulokuwa nao? Je, kuna mtu yeyote mwenye takwimu za maoni ya wananchi kuhusu...
Nafasi 201 zilipiganiwa na wapinzani kuingia bunge maalum la katiba. Awali Ccm walitaka ziwe nafasi 50 tu Hilo washalisahau ndugu zetu wa 201.
Na kwenye kundi hili kuna ambao wanataka kutumia...
Sote tunaelewa kwa kiwango fulani mwenendo wa mchakato wa uundwaji wa katiba mpya unaoendelea hivi sasa.
Swali nililo nalo kwenu wanajamvi na watanzana kwa ujumla.
Je, ni sahihi kuharakisha...
Ukisikia Hoja za UKAWA,Wanachotaka ni ikiwa WATAHAKIKISHIWA kuwa watajadili tu rasimu kabla ilivyowasilishwa na Warioba basi watarejea Bungeni.Hivi sheria inayowaongoza inasemaje? Je Rasimu ya...
Gazeti la Mtanzania leo likiripoti kuwa Dr Slaa amejibu kauli ya Zitto Kabwe ya kubeza UKAWA na kusema UKAWA itasimama hadi mwisho. Zitto awali alinukuliwa akisema UKAWA haitafika mbali kwani hata...
Kwenye mdahalo wa ITV Wasira amesema muundo uliopendekezwa na tume hauna uhalali kwa kuwa maoni 8,000 kati ya 17,000 waliochangia juu ya muundo wa muungano yalitoka KIGOMA.
Wassira atambue kuwa...
"Viongozi wa dini tuna nafasi kubwa sana ya kuirejesha serikali kwenye mstari kama Bunge limeshindwa. Tuikemee serikali waziwazi inapokwenda kinyume, tumechoshwa na wizi, leo unasikia Escrow...
Tuliobahatika kwenda sekondari miaka ya sabini na themanini tuliweza kujipatia manufaa kwa sababu ya kutokuwepo kwa wasomi vijijini. Ilikuwa ni rahisi kumwambia mzazi kuwa nivunja ganglion ya...
Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia MDAHALO WA KATIBA leo JUMAMOSI tarehe 2 itakayorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa 8 kamili hadi saa 11 kamili jioni. Watoa MADA watakuwa ni JENERALI...
Ngoma inogile. Wakati KUNDI LA TANZANIA KWANZA LINALOONGOZWA NA CCM linaungwa mkono na wananchi, viongozi wa dini, wasomi na wote wanaopenda kuona tanzania inabaki kusimama ikiwa imara wenzao wa...
Kile walichosema UKAWA wanakwenda kuwashtaki CCM kwa wananchi kuwa wao ndiyo wanakwamisha uandikwaji wa Katiba mpya kimegonga mwamba, UKAWA wameomba nafasi ya kutafuta maridhiano ili warudi...
Ki ukweli katika swala hili la mvutano baina ya CCM na Ukawa Binafsi ninaunga mkono hoja za Ukawa.kwa sababu Ukawa wameonyesha Uzalendo mkubwa mpaka kufikia jana,nimekuwa nikieleza hapa jamvini...
Mimi binafsi nakubali sana vyama vya Upinzani hususani Chadema na NCCR MAGEUZI kwa michango ya wabunge wake kutetea wananchi hasa wanyonge. Wanafanya kazi nzuri hasa Tundu Lissu...
Ni wazi sasa ni kipindi cha lala salama hasa katika suala la posho na ukusanyaji wa pesa za kampeni, ni wazi kuna wabunge wanajua hawatarudi bungeni, na wengine wanasaka pesa ya kampeni au...
Wadau, Leo Kutakua Na Mdahalo Utakaorushwa Na Itv, Unahusu Mstakabali Wa Katiba. ... Lakn Pia Kesho Udsm Ukumbi Wa Nkrumah Kutakua Na Mdahalo Juu Ya Katiba Na Utarushwa Na Startv...
Rais katika hotuba yake ya kila mwezi anasema tume ilimfuata ili atoe maoni yake akakataa, akidai hataki kuwaingilia kazi yao, Sasa kama alikataa kutoa maoni yake katika tume, kwanini aende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.