Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya...
Habari zenu familia ya JF.
Naenda kwenye hoja hapo juu. Kumekuwa na mipango ya kutaka kubadilisha mfumo wa uchaguzi na mihula ya Urais humu nchini.
Mi binafsi napendekeza na kama ningekuwa na...
Ukiingalia katiba ya Tanzania, ni kama vile ilifikiriwa kuwa wakati wote Rais atakuwa Mtanganyika.
Tanganyika iliungana na Zanzibar kwenye mambo machache, nadhani wakati ule yalikuwa 17 tu.
Hayo...
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.
Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao...
Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa...
MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!?
Leo 12:15pm 24/04/2022
Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania...
Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na...
Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania
Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania...
Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni...
Salaam,
Kwa wenye access na ITV, Watch ITV now, Prof. Issa Shivji, anashusha mhadhara kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya.
Kwa wale ambao mtakikosa kipindi hiki leo saa hizi hapa ITV, angalieni...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Godfrey Pinda amesema Watanzania waipe muda Katiba iliyopo ili iangaliwe maeneo yanayokera ili kuimarishwa, kwa sababu haina tatizo lolote isipokuwa wanaoitafsiri...
Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama.
Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee.
Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa...
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU.
Sema amina
Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga...
UTANGULIZINajitokeza kuandika walaka huu huku nikitambua ya kwamba Rais Nyerere alisema maadui watatu wa taifa ni ujinga ,maradhi na umaskini lakini mimi Kaberwa nasema maadui wetu ni uvivu,uoga...
Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa.
Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga...
Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa...