wanajukwaa,
Baadhi ya maaskofu na mashehe waliomo ndani ya bunge la katiba tunawajua msimamo yao. Mfano Sheikh Jongo alijifanya kulia ati Ukawa wametukana. Juma Salum tulimsikia. Askofu mtetemela...
SAMUEL SITTA ANATAFUTA THELUTHI MBILI AU MWAFAKA?
Kupitia njia mbalimbali za upashanaji habari, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samuel Sitta amenukuliwa akisema kuwa ameunda Kamati ya Mashauriano...
Mbeya/Moshi. Rais Jakaya Kikwete amesema msimamo wa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umemweka njiapanda sawa na Watanzania wengine wanaoshangaa.
Rais...
Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuacha kuitetea Rasimu ya Katiba kwa maelezo kuwa kazi yake...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba-BMK mh.Sitta ameripotiwa wiki hii kuiita Kamati ya Uongozi -BMK ili kuleta mwafaka UKAWA warudi bungeni.
Kamati hiyo inatakiwa iwashawishi wajumbe wa ccm...
Samwel Sitta ambaye nimwenyekiti wa BMK amewaambia wajumbe wa UKAWA kuwa, atakayevimba kichwa na kudharau kikao atachoitisha cha usuluishi, ana uhakika kuwa wananchi watajua nia ya ukawa ni...
leo katika ibada padre wa kanisa katoliki parokia ya Matogoro Songea mjini aliwaambia waumini kwamba wanatakiwa kuwaunga mkono UKAWA kwani wao ndio wa kweli kwa kile wanachokidai na kuacha...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshangazwa kuzuka kwa mabishano makali na mpasuko uliosababisha upotoshaji wa nia iliyokusudiwa katika Bunge Maalum la Katiba baada ya hotuba ya...
KAWA WALIPASUA TAIFA,SASA WAMNYIMA USINGIZI RAIS KIKWETE,SOMA HAPA UONE JINSI TAIFA WALIVYOLIPASUA TAIFA
KATIKA kusaka suluhu ya kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba...
mimi maoni yangu kwenye katiba hii mpya waziri si lazima awe mbunge kwa sababu ili uwe mbunge lazima uwe muongo uwadangaye wapiga kura wako na akipewa uwaziri wanakuwa waongo vile vile sio...
Wiki ya Machi 18 - 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Alhamisi 10/07/2014..Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa na Rais wa TEC amewasisitizia waumini kuwa "Referendum" ya Katiba isiyoakisi maudhui ya Rasimu ya Warioba ikataliwe kwa nguvu zote...
Nimesikia leo kwenye kipindi magazeti WAPO RADIO. Mkuu wa jeshi la polisi anasema kwamba wwnafutilia issue ya mabomo hasa kule Arusha.
Alicho nishangaza ni kaule yake kuwa (najaribu ku-quote)...
Ukweli UKAWA wamejenga vizuri hoja, waambiwe kwanza mada itakayotawala mjadala kama ni rasimu yenye mawazo ya wananchi au ya wanasiasa? Ukweli hata mimi na elimu yangu chache naunga mkono UKAWA...
Sasa ni dhahiri kwamba maji yapo shingoni mwa CCM! Hali ya CCM ni mbaya kuliko watu wengi wanavyodhani na kuliko makada wao wanavyojifariji. Kukwama kwa mchakato wa utunzi wa Katiba Mpya ni...
Nimepata taarifa kwamba kuna vikao vya chini chini( siri) kwa wadau wa siasa kwamba wanakutana kwa siri ili kupanga namna ya kunusuru mchakato wa katiba mpya. HOfu yangu kama ni kweli isije ikawa...
Kama tunavyo jua ndugu zangu wapendwa, Tanzania inataka kuunda serekali tatu,
1) Serekali ya Tanganyika
2) Serekali ya Zanzibar
3) Na Serekali ya Muungano.!
Tanzania itakuwa inchi ya kwanza...
Mwenyekiti wa Chama cha NRA, RASHID MTUTA Leo ameongea na wakazi wa mkoa wa Pwani walaya ya mkuranga ktk kata za Kimanzichana na Mwarusembe katika ziara yake ya kutembelea mikoa ya Kusini...
Wote ni watanzania, hivyo kila anayetetea usawa,haki,umoja Amani na demokrasia anailenga Tanzania,iwapo yupo asiyeilenga Tanzania basi hana jema Kwa Tanzania, Leo tumegawanyika katika makundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.