KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
wanajamvi toeni mawazo yenu kuhusu hii video hasa kuanzia 13:26 kuhusu kodi za mungano na mchango wa zanzibar katika kodi hizo
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Hii habari ya UKAWA kusimamisha mgombea urais mmoja kwenye uchaguzi mkuu ujao imenikumbusha mistari hii ya Mshairi nguli kutoka Uganda Okot P' Bitek kwenye shairi lake la ''When the Buffaloes of...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukawa umeibuka dodoma na kuanza mikutano zanzibar, swali langu je vyama vyao vilikaa vikao gani kuizinisha muungano wa ukawa? Maana sijasikia baraza kuu la cuf, cdm wala nccr je muungano una...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana bodi habari za leo, Nimeona niwadokezee hili ndugu zangu wa CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi kwamba muungano wao wa UKAWA ni sawa na virusi vya ukimwi ambavyo vinaathiri nguvu zao za...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mbeya. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amefichua sababu za chama hicho kushikilia msimamo wa muundo wa serikali mbili katika mjadala wa Katiba Mpya, akisema ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani huyu rais wetu wa zanzibar anawadhifa gani katika bunge la jamhur ya muungano mbona simuonii kuzungumzia lolote juu ya shughuli zozote zinazoendelea bungeni iwe ni bajeti au rasimu ya...
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Umoja wa vijana wazalendo Zanzibar kuwasilisha mswaada wa kura ya maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo muungano iwapo mchakato wa katiba mpya utushindikana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katibu mwenezi wa CCM mh.Nape Nauye, amesema ukawa usirudi tena bungeni. Je, hii kauli yake ni sahihi?
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umekuwa tatizo kuu linalo isumbua CCM kiasi cha kuanza mikakati kudhoofisha jitihada zinazofanywa na umoja huu kivyovyote vile hata kwa kufanya makosa ya jinai...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau, Taifa hili maskini sana duniani limeshuhudia utawala mbovu, rushwa na ukandamizaji mkubwa wa haki za umma, mikataba mibovu kabisa inayolinda viongozi hovyo na waliojaa wizi wa Mali asili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu, nimetoka kuwasikiliza kwa umakini wazee hapa canteen kwetu walikuwa wanazungumzia kuhusu muundo wa serikali, wamesema kuwa CCM haiwezi kukubali muundo wa serikali tatu hata kwa bunduki...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivii kwanini jamii inaumiza vichwa bila sababu kutaka ukawa warudi mjengoni? Nawashangaa sana viongozi weeengi haswa maaskofu mashekhe napia viongozi wa vyama na serikali kubembeleza ukawa warudi...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutafuta suluhu ya kupata mwafaka wa mchakato wa Katiba Mpya kwa kuwa hakuna mamlaka...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutafuta suluhu ya kupata mwafaka wa mchakato wa Katiba Mpya kwa kuwa hakuna mamlaka nyingine zaidi...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wanajamvi ccm wanaeneza propaganda ya hatari kwa mustakabari wa taifa letu ya udini na ukanada dhidi ya upinzani. Hii ni kwa sabababu CCM walishapoteza misingi imara iliyojengwa na waasisi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu unaweza kuwa ushauri wa ajabu kuwahi kutolewa! lakini ni ushauri muhimu sana... Kwa hakika umoja wa UKAWA ni umoja dhaifu wa vyama vya siasa uliowahi kutokea hapa nchini, lakini jambo la...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilibahatika kumsikia raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania na viongozi waandamizi wa ccm akiwepo waziri mkuu P. Pinda,hali kadhalika kusoma baadhi ya maoni na comment za wana ccm kupitia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Nilikuwa najiuliza maswali mengi sana,nguvu inayotumika kujaribu kuwarudisha au kuwaomba ukawa warudi bungeni ni kubwa sana,sina maana ya pesa tu but energy pia ya mtu ina count...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom