KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ni professor ibrahim haruna lipumba yupo kituo cha luninga cha itv,kipima joto kujadili bajeti ya 2014/2015 na changamoto zake. -yupo pia bwana hezron kaaya wakidadavia mapungufu makubwa yaliyomo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
SIKUBALIANI NA UMRI WA MGOMBEA URAIS KUWA miaka 40 MIMI KAMA KIJANA. Ukisoma ibara ya 44 ya rasimu ya pili KUHUSU VIJANA inasema "kila kijana ana haki na wajibu wa kushiriki KIKAMILIFU katika...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Kama ningekua Raisi wa jamuhuri ya muungano ninge washauri waswahili huu ni wakati muafaka kua na Serikari moja.. kwani tatizo lipo wapi? Suala la zanzibar kumezwa ni uongo kwani shinyanga ime...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mara yangu ya kwanza leo asubuhi namsikia huyu Kisandu akiongea nadni ya Star TV eti kwa kuwa vyama vinashindana hawa serikali mbili na wale Serikali tatu, basi sisi wananchi tunataka serikali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sylvanus Mataro... Jamani kwa tusiojua hamna katiba bila ushiriki wa vyama vya siasa....Tusaidiane kuwaambia wenzetu kua UKAWA SI KAKIKUNDI KADOGO kama wanavoelewa wengi wetu....never! Hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mnazungumza umoja...ila roho zenu zina u mbili....fikra zenye Tamaa na ulafi...ubishi...msiwe waoga wa kufikiria...Tengenezeni Katiba yenu!! yenye mambo yenu...yenye ubunifu wenu...utamaduni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Written by amini 04/12/2011 Mohammed Khamid Hamad ni mwanasheria kutoka afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar akitoa mada juu ya uhusiano katiba ya Zanzibar na katiba ya Muungano UHUSIANO...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hii ndio ilikuwa vision ya viongozi wetu waasisi wa muungano, anadai hii ndio serikali itakayokuwa na gharama ndogo. muungano utakuwa imara zaidi: amesema mwana ccm bungeni - mhe mtutula...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo na Mwenyezi Mungu amewaamsha mkiwa salama. Kwa wale wagonjwa tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapone mapema. Kwa wale waliofikwa na mauti, tuwaombee...
7 Reactions
311 Replies
30K Views
Wadau ifike wakati tudai kipengele ndani ya katiba mpya ambacho kitaitaka serikali itakayokuwa madarakani kutumia chini ya letsay 41%ya makusanyo ya ndani kwa matumizi ya serikali na 60%kwa miradi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimetangaza kuwa kitaandaa mkutano wa faragha kwa viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na kuwaalika watu mashuhuri ili kutafakari hali na mwenendo wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
hiv m nauliza kuungua kwa karume serikali ina mkakati gani maana vjana hawana ajira seriakli kizembea t mambo ya panya road yatarudi tena
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa ccm huko znz,mzee huyo amesema serikali 2 zitalinda amani,swali amefanya utafiti gani na lini kugundua hilo?no research no right to speak
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hayo aliyasema baada ya kuulizwa swali na Mwananchi mmoja. kwa nini wabunge wa ccm wamekuwa mstari wa mbele kuipinga Rasimu ya katiba ambayo ni mawazo ya wananchi? JIBU: ccm hatutaki kusikia hbr...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kuna mbunge alikuwa anachangia jioni hii,ni mweusi baada ya yule kutoka zanzbr sijampata jina lake ila anadai ni watz wapi wanaotaka kura ya siri,je anaposema watz wengi anaowajua wanataka kura ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana bodi Mchakato wa katiba mpya unaondelea ndani ya Bunge maalumu la Muungano ni HASARA KUBWA kwa Taifa...najuwa wengi mtashangaa ni kwa nini... Mchakato wote wa Katiba Mpya ingawa una...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe! 1. Kakobe mwaka 1995 alitangaza Mrema ndio chaguo a Mungu na Atashinda urais Mrema akaangukia Pua -Kakobe na mrema yatonga Wakashindwa 2...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi ni kweli chama tawala kimependekeza kuonda kwenye rasimu tunu za taifa, ambazo ni uwazi na uwajibikaji?na bado wanajigamba wanamuehezi mwl nyerere? Hivi ni kwanini viongozi wa chama cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nadiliki kumwambia makonda kuwa hana adabu. Makonda ni mjumbe wa bunge la katiba . Yale aliyoyaongea hapa mini GEITA no ujinga mtupu hana adabu hata kidogo. Kwa ufupi hana nidhamu hats kidogo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) umesababisha mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda kupata wakati mgumu akijaribu kufuta...
6 Reactions
33 Replies
7K Views
Back
Top Bottom