Wanajamvi,
Wanaotetea mfumo wa serikali 2 CCM wanapaswa kuomba radhi maana wanakataa maoni ya wananchi.
Hii ni dharau kubwa sana,rais mwenyewe amekubali maoni mwanyo,lasi hivyo CCM wataumbuka...
Wadau wasema Rais ameivuruga nchi kwa kuzarau tume na maoni ya wananchi,ndiye aliyelivuruga bunge maalumu la katiba,ndiye aliyesababisha sintofahamu hivyo ni mh kikwete mwenyewe aombe radhi kwa...
Ni katika ziara yake ya UKAWA mkoani Geita, Dr. Slaa amesema hati hiyo ya muungano haipo umoja wa mataifa kama walivyokuwa wakidai kina naniii huku wakimwita Lissu majina mabaya kuwa ni mropokaji...
Jana mji wa Geita umelindima sana kwahotuba aliyoitoa Dr.Slaa.Akisema enzi ya Mwl. Kama MTU afuati mambo ambayo amekua akiambiwa Mara kwa mara,Mwl.alikuwa akiqaita wapumbavu. Hata kinana na...
Wakuu heshima,kwenu.
Ninawaletea picha za mkutano wa UKAWA kama unavyoendelea mjini Moshi leo kwenye viwanja vya Railway.
Kwa hakika mkutano umehudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Moshi na...
Naomba ufafanuzi, Kwanini CCM na vijana wenzangu wa UVCCM kwani si facebook si popote nimeona viongozi wetu wakionesha alama ya vidole viwili kama wenzetu wa UKAWA wanavyofanya ya kuonesha alama...
Kwa mujibu wa mkataba wa muungano wa 1964 wenye vipengele 11, na baada ya nyongeza kufikia 22..bado Tanzania inabaki kuwa muungano wa nchi mbili huru.Muungano huu ni wa baadhi ya mambo tu.
Mambo...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka viongozi na wanachama wake kujibu mapigo ya waojiita viongozi wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (UKAWA) kwa uzito bila kuwa na woga.
Pia kimesema kitaendelea...
Hawa wana ukawa walikuwa wapi siku zote ambapo walishindwa kusema wanayoyasema sasa hivi. Mimi naona kama ni wanafiki maana sasa hivi ndo wanaona ubaya wa serikali ya CCM. Dr.Slaa akianza kuongea...
Taarifa hiyo imenukuliwa na gazeti la tanzani daima leo kuwa ccm wameanza kupiga kampeni misikitini ya kuwarubuni waislam wakubali serikali mbili.
Source: Tanzania Daima, leo 22/5/2014
Hapa tulipofika viongozi wetu wa serikali za kiafrika wamefikia ukomo wa kufikri. Nikianza na nchi yangu katika mchakato wa kutengeneza katiba mpya watu wanabishana juu ya aina ya kura kati ya...
Lengo ni kupata katiba ya wananchi na siyo ya CCM. Njiani kuelekea katiba mpya CCM imeweka kila aina ya vipingamizi,vikwazo , fitina, vitisho,rushwa na ghilba. Tusife moyo lengo ni moja tu-katiba...
Nipo katika mji wa Singida katika mitaa ya Mitunduruni,Posta,Mwenge,Namfua na stand wananchi wengi wanasema wao wamechoka na porojo za CCM wanasubiri UKAWA na wanaunga mkono UKAWA kwa kuwa...
Habari nilizopata toka kwa mmoja wa watu wangu wa nguvu kutoka mkoani Kigoma ni kwamba,Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) Wamezuiwa kufanya mkutano ambao ulipangwa kufanyika ktk kiwanja cha...
Viongozi wa dini nchini, wamesema kuwa watasimama kidete kuhakikisha wanaunga mkono umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) kwa ajili ya kuhakikisha inapatikana katiba mpya.
Akizungumza katika...
naangalia taarifa ya habari itv hapa naona mwitikio mkubwa sana wa watu katika mikutano ya ukawa karagwe na tunduma. kweli nape ana kila sababu ya kuiwaza ukawa...this so called ukawa should be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.