CCM IMETOA WAPI HII YA MBILI?
Sikia hii;
"Shetani alimjaribu Yesu mara 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3, Yesu alifufuka siku ya 3, wanawake walienda kaburini siku ya 3...
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi.
UKAWA inaundwa na...
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo.
1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza...
Ma CCM ni maoga na yana kampeni za kizamani nadhani mengi yao yamezaliwa BBC au Born Before Computers ila sasa ni before technology .Hadi viongozi wa vijikanisa wa kutoka Mbeya wakaingia mkenge na...
Inashangaza wala haishangazi kuona unafik wa mtu anayeambiwa eti ni ‘mwanasiasa mkongwe na aliyebobea'. Haishangazi kwa sababu unafik wake Kingunge ni sawa na ule ule unafik wa CCM na...
BMK lilianza kwa kasoro za hapa na pale lakini kubwa zaidi ni kitendo cha kundi linaloitwa UKAWA kuamua kususia mchakato mzima.Je matokeo yatakayopatikana baada ya BMK kumaliza mchakato yatakuwa...
Ccm watakua na mkutano pemba leo na kesho watakua kibanda maiti kujibu hoja za ukAwa
UKAWA wametuonesha njia wa zanzibari hawahadaiki na ulaghai wa ccm abadan
ZANZibar huruuuuu
Wakuu,
Iwe mwisho kwa raia yeyote hasa wale walioko kwenye mihimili ya serikali kujiita na kutuhubiria UZALENDO ikiwa mtu huyo hajajiunga na timu ya WAZALENDO ya UKAWA!!
Napendekeza hivi...
Profesa Lipumba alitoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Pangani katika mwendelezo wa mikutano ya chama hicho 'kuwazindua Watanzania katika kujenga demokrasia ya kweli...
Akihutubia wafanyakazi wachache sana waliojitokeza kwenye sherehe za Mei Mosi leo uwanja wa Uhuru, JK ameendelea kuonyesha kama ajali nguvu ya ukawa nje ya Bunge la katiba. Ameendelea kudhani kuwa...
Kila ninavyoliwaza jambo lenyewe naona kiza kipana kimetanda si tu kwangu bali kwa wanaUKAWA wenyewe. Kiza hiki ni kutokana na mgawanyiko wa kimaslahi ndani ya wanaukawa wenyewe.
wapo katika...
Zomea zomea ilioanza Visiwani Z'Bar zidi ya wasaliti, Jana ilimkumba Mwakilishi wa Koani Mussa Ali Hassan Written by makame silima // 02/05/2014 // Habari // 3 Comments Kulia ni Muwakilishi wa...
Mbunge wa mbinga magharib Captain john komba juzi siku ya Ijumaa KUU alitembelea parokia ya Tingi huku akiwa na nia ya kuhudhuria misa takatifu ya ijumaa kuu pamoja na kuteta jambo na wahumini wa...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema wananchi wakiwaona UKAWA wawafukuze kwa mawe. Ameyasema hayo akihojiwa na Antony Joseph wa RADIO WAPO FM kuhusiana na uamuzi wa UKAWA kwenda...
Taarifa toka katika gazeti moja la leo la mtanzania 29/4/2014 limeripoti kuwa UKAWA wanajiandaa kumfungulia kesi mwanasheria mkuu wa serikali juu ya wa mjadala wa rasimu bungeni.
Mashtaka yake...
Kama kwenye bunge la katiba kuna watu ambao wanashindwa kuendana na kasi na changamoto zake, basi wawapishe watu wengine wakawatafutie wananchi katiba bora.Ni hayo 2 kwa leo
Nikiangalia uelewa ambao wananchi wameupata kuhusu kuwa na nchi ya Tanganyika, nchi ya Zanzibar, na serikali ya shirikisho (federal government) naona ni vigumu tena kuwadanganya wananchi. Katika...
Hii combination imewachanganya magamba kiasi kwamba wanaludi na stori za zamani zenye kuvunja ukawa... Yaliyopita sindwele tugange yajayo ukawa mungu yupo nanyi ya nyuma hatuangalii tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.