Mheshimiwa Zitto Kabwe aliyasema hayo jana huko London wakati akihojiwa na BBC, kuwa hivi sasa Kenya imetingwa na imejikuta inatumia fedha karibu zote za makusanyo yake kuhudumia mishahara ya...
Nampongeza Mzee wetu Warioba kwa kuwa mkweli. Je, Le Mutuz, Napena MwanaDiwani et. al. mna la kuongeza?
Endelea
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph...
Hiii ni Audio ya warioba alivyokuwa akihojiwa ITV,,,,,,,sorry for wrong heading,,,
https://soundcloud.com/mswahili-flani/sikiliza-mahojiano-ya-dakika-45-ya-itv-na-jaji-warioba
Wajumbe wake hawakuteuliwa kwa kigezo cha utaalam na uwezo wao katika kuchambua mambo ya katiba bali kwa uwakilishi wao wa makundi mbalimbali katika jamii ya watanzania. Kuna wakulima, wavuvi...
Jaji Warioba alisema mipango mingi ya maendeleo inayopangwa ndani ya Bunge la Muungano inatekelezwa upande wa Bara pekee.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph...
Hadi sasa uwanja umejaa sana hapa uwanja wa kibanda Maiti.kwa maelezo ya wajumbe wa ccm na washirika wao walidai Zanzibar wanataka serikali Mbili na ukawa hawawezi kupata watu huko lakini si kweli...
Katika bunge la katiba tumeshuhudia mambo ya ajabu ajabu, na Mungu hamfichi mnafiki hataaa!
Je kwa nyie washuhudiaji wa bunge hilo, nani haswaa anaweza kuwa kwenye kundi la watumishi wa Mungu...
Kumekuwa na hoja nyingi zikitolewa haswa na wajumbe toka mlengo wa CCM kuwa Tundu Lisu aliwatukana ''matusi'' waasisi wa muungano!
Kwa bahati nzuri asilimia kubwa ya waTanzania tulikuwa...
Wadau, amani iwe kwenu leo wakati tukijiandaa kuahirisha bunge letu Maalum hadi hapo Agosti 2014.
Wadau, kwa wale wanaofuatilia habari za kitaifa kupitia magazeti, Runinga na Radio, tangu juzi...
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa...
wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4 kama ifuatavyo; dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na pwani;maalim seif...
Jaji Joseph Sinde Warioba, amekuwa adui namba moja wa rais, viongozi wa CCM na serikali kutokana na tume aliyoingoza ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya kuleta maoni halisi na ya...
Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo...
WanaJf nianze kwa kusema two wrongs don't make right lakini vile vile hakuna kitu kibaya katika siasa kama kuwa na wanasiasa WANAFIKI.
UKAWA acheni kudanganya wanachi, kama mna ajenda zingine za...
Wana JF, kuna watu tumeshiriki ktk kutafuta wawakilishi wetu kwenye Bunge la Katiba. kwa sasa bunge limeahilishwa na baadhi yetu tuna hamu ya kutaka kujua juu ya utendaji wa wajumbe tuliowatuma...
Wasomaji mnaosoma hapa mtakumbuka kuhusu simulizi katika kitabu kimojawapo katika biblia kiitwacho matendo ya mitume,hasa kinachomtaja mtawala mmoja wa roma wakati huo kaisari Nero
watawala wa...
Wanasiasa wetu hawaishi kuoteshwa na mara nyingi wana bahati ya kuoteshwa ndoto ambazo zinawahakikishia kubakia madarakani kwa nguvu zote. Lukuvi ameoteshwa kuwa kutatokea mapinduzi ya kijeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.