Tupo wengi tunaowalaumu UKAWA kwamba ni kikundi HARAMU na kinapaswa kuvunjwa au kusajiliwa! Baadhi ya waliojiunga na lawama hizo nao wameunda kikundi HARAMU ili "kujibu mapigo!"
Kwa mawazo yangu...
TANGAZO!
Baada ya CCM kushtushwa na mapambano makali ya UKAWA yaliyohamia nje ya Bunge la Katiba, waamua kulitumia jeshi la Polisi kuzuia Mikutano ya hadhara ya UKAWA.
Mkutano wa kesho Jumamosi...
Jueni Serikali ni mfumo watu wanaokubaliana uwaongoze ! Serikali siyo muungano ! Bali ni Chombo cha wananchi ambao ndio walioweka hiyo/serikal/huo mfumO, Hivyo wananchi wanaweza kubadili mfumo...
Dar es Salaam. Wajumbe wa Kundi la Tanzania Kwanza nje ya Bunge la Maalumu la Katiba jana waligawanyika mbele ya waandishi wa habari waliowaita kueleza mkakati wao wa kuandamana nchi nzima...
Katika maadhimisho ya miaka 50, Wizara ya Afrika Mashariki iliandaa Kongamano la Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika miaka hiyo 50 ya Muungano lilifanyika mjini Zanzibar.
Kati ya...
Kinachoendelea hivi sasa baina ya Wana-CCM na Mzee Warioba ni vita ya maneno! Katika vita hii wana-CCM wanatumia nyenzo mbalimbali zikiwemo siasa chafu za kumdhalilisha, kumkebehi, kumdharau...
Waziri mkuu kwenye kufunga bunge la katiba alikiri kuwa ofisi yake ilipendekeza muundo wa serikali tatu lakini akasema ofisi yake na makamu wa rais kupendekeza hivyo haina maana kama ndio...
Lukuvi maji shingoni
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Urataibu wa Bunge), William Lukuvi, amezidi kukaliwa kooni kwa kutakiwa kujiuzulu kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi kanisani...
Waathirika wa serikali mbili tunaomba tuhakikishiwe sisi Wadanganyika kama katika mfumo wa serikali mbili ulioboreshwa na ccm,tutapata fursa ya kununua mashamba na kujenga majumba Zanzibar na...
Wadau,
Mh. Jaji Warioba leo ataunguruma kupitia ITV kwenye kipindi cha DK 45. Atakuwa akihojiwa na Buhohela. Naamini ataweka sawa mipaasho ya UKACCM (UMOJA WA KATIBA YA CCM) waliobaki bungeni na...
Tarehe 26/4/1964 Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Hayati Mzee Abeid Amani Karume waliunganisha nchi/serikali mbili za Tanganyika na Zanzibar kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa...
Ikumbukwe pia kuwa kwa sasa kuna marumbano kuhusu uwezo wa serikali ya Muungano chini ya Amiri Jeshi Mkuu kuweza kulisimamia Jeshi kimaslahi kwa sababu serikali yake itakuwa haikusanyi kodi na...
Habari wakuu wa JM F, nimeona leo niombe kujuzwa juu ya faida ambazo sisi kama Tanzania bara tunaweza kupata kama tukiirudisha Tanganyika. naomba kujuzwa kwa nini wapo watu wanafikiri kuirejesha...
Jamani mimi naona muungano wa serikali mbili ni sawa kwa nchi zetu zenye idadi tofauti ya watu yaani zanzibar watu 1.4m na tanganyika watu 47m. Kwa maoni yangu waasisi wetu walitumia hekima kubwa...
Kufuatia sherehe za miaka 50 ya muungano hapo jana jeshi limechukua sehemu kubwa ya maonyesho hayo kiasi kwamba wananchi wengi tumeunganisja tukio hilo na mchakato wa katiba mpya. Hivi kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.