Kutokana na kutokuwepo wajumbe wanaounda kambi ya ukawa na Baadhi Ya wajumbe Toka 201, wapo wabunge wa ccm Wanataka serikali 3 leo hawataingia bungeni maana hakuna Majadiliano Bali...
Fuatilia nami upate kile kinachojiri katika kikao cha 26 cha Bunge Maalum la Katiba.
Mwenyekiti wa BMK anaanza kwa dua ya kuombea bunge ili wapate hekima na busara ya kujadili vizuri...
Njia pekee itakayoweza kusababisha wabunge wawe watulivu ni kutumia Lugha ya kingereza. Hii itafanya wachangiaji wawe wale tu wenye hoja za msingi na wale wapigamakelele itabidi wakae kimya.
Taarifa rasmi iliyotolewa bungeni hivi sasa na mwenyekiti wa bunge samweli sitta ni kwamba ukawa wamerudi bungeni lakini wameenda moja kwa moja ofisi ya uhasibu ya bunge na kutaka kusaini posho...
Jeshi la Polisi Zanzibar limeendelea kuuchelewesha mkutano wa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa madai kwamba hakuna askari wa kutoshakuulinda.
Awali, mkutano huo...
From New Afrika Hotel Dar Es Salaam (28/4/2014)
Akihutubia kama mgeni mwalikwa kwenye kongamano la uandaaji wa tuzo za mwanajinsia bora ukanda wa kusini mwa Afrika (SADC) Mwanasiasa Mkongwe...
Hivi huyu jamaa mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa anasema kama UKAWA sio chama cha siasa nani kamwambia kuwa ni chama cha siasa, eti hawawezi kufanya mikutano na polisi hawatawaruhusu...
Rais wetu mheshimiwa sana Kikwete aliunda tume ya mabadiliko ya katiba na akamteua mtanzania ambaye aliona kuwa anafikia vigezo vyote. Kwanza ni mwanasheria aliyebobea, jaji mstaafu, mwanachama wa...
Kumekuwa na chapuo la kutaka serikali mbili hasa kwetu sisi wana-ccm huku baadhi ya watu wakitaka serikali moja na wengine tatu. Ikiwa "Serikali Mbili Zilizoboreshwa" zitapita mambo yafuatayo...
Mahesabu ya Ukawa ni kuacha waliowawacha waonyeshe ukweli wa imani zao mbele ya wananchi ,mwanzo ilikuwa vigumu kuwaona wanaohitaji kuifuata rasimu kama ilivyowakilishwa na Tume ya Jaji Warioba...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba juzi usiku alikuwa miongoni mwa viongozi na watu mashuhuri waliotunukiwa nishani na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini...
Wakuu.
Akiwa Zanzibar Mohamedi Raza alitokwa na povu la kudai serikali tatu na kusisitiza peoples power, lakini baada ya kufika Dodoma akaufyata! Wakati huo huo, gazeti la leo la Nipashe Uk 3...
Nimewaona Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba wanaoiwakilisha CCM wanavyojifanya kuwashambulia Tundu Lissu na Jussa Ladhu kwa kukosoa tawala za Mwalimu Nyerere na Abeid Aman Karume kuhusiana na...
Wangwana
Tumechoka kusikiliza kile ninachopengda kukuita kama makalele ya wahubiri wa muungano kutoka tanganyika.
Wengi wao huwa tunawamithilisha na wasomi vichaa AU MAPROFESA TAI, yaani...
Salaam wanajamvi,
Muda mwingi tumekuwa tukisikia habari za muungano kutetereka kwa kile kinachoitwa kero za muungano zisizopatiwa ufumbuzi kwa miaka mingi lakini ukweli ni kwamba kero hizi...
dr lwaitama akihojiwa katika startv tuongee asubuhi amesema kuwa wajumbe walio wengi wa ccm kwa mtazamo kuwa rasimu ya 2 ya katiba ni maoni ya chadema,cuf na nccr wakati si kweli yale ni maoni ya...
Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii
https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.