SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...
Yaani mtu akuteue kisha akutume nawe utumike kwa uadilifu na mwisho umkabidhi kazi aliyokutuma kwa heshma na adabu halafu ghafla aanze kukushambulia natena achagize na wengine kufanya hivyo...
Ndugu wana JF>
Zimeelezwa sababu kadhaa zinazofanya watu wapendelee muundo wa serikali tatu. Mojawapo ya sababu ambayo na mimi naiona, hata ufanyeje sintakubaliana na serikali mbili. Kuruhusu...
Nasikiliza taarifa ya habari vituo vyote vya tv yaani ITV, STAR TV, TBC, NA CHANNEL 10 vimewahoji watu mbali mbali kuhusu muundo wa muungano unaofaa lakini karibu wote wanataka muungano uliopo...
Kwa heshima na taadhima ninaingia humu jukwaani kutoa dukuduku langu ili wahusika wayaone, wayasome wenyewe au wajulishwe na walio karibu nao.
Ninashukuru kuahirishwa kwa Bunge maalum la...
Naomba kuwasilisha hizi link (mbili) mjionee wenyewe wana jamii.
Link ya kwanza akiufyatua bungeni
Link ya pili akikiri kumuunga mkono Jussa lakini wakiwa wamejifungia kwenye semina ya CCM
Kwa...
Nimeongea na wajumbe watatu wa ilyokuwa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba kuhusu msimamo wa Rais Kikwetu juu ya Serikali tatu. Wote kwa ujasiri mkubwa waliniambia kuwa Rais Kikwete anaunga mkono kwa...
Baada ya upotoshaji mkubwa kufanywa bungeni na watu wasio itakia nchi yetu mema wakiwa wameongozwa na Tundu Lissu. Sasa watu hao wamepata aibu ya mwaka baada ya Ikulu kusambaratisha upotoshaji...
Iko wazi kabisa kuwa ili kuulinda mfumo huu wa Muungano wa Serikali mbili,Zanzibar imekuwa ikijichomoza kila uchao kama nchi kamili. Kutokana na vuguvugu la mara kwa mara kutoka kwa...
WanaJF,
Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za...
Habari zenu wana JF?
Tangu Mh Jaji Sinde Warioba amalize kulihutubia Bunge la Katiba na KUWA mwiba Mchungu kwa wana CCM wenzake,imefikia kipindi watu wanahoji usalama wake kutokana na msimamo...
Tanzania ina wasanii wengi sana na hao ni pamoja na rais kikwete. eti kamvisha warioba nishan ya utumish bora ndani ya muungano nani kasema?
Je kuna siku anga itaungana na ardhi? Warioba...
Hivi Lipumba na Mbowe hawajatumika kuwaondoa UKAWA bungeni ili kuleta utulivu na kuheshimiana maana matuc na fujo zilikuwa zikiongozwa na kundi hili la UKAWA?
Kama serikali tatu ni hasara na ni gharama kubwa na ni kujitafutia matumizi yasio na lazima ,basi sababu hizohizo zinapatikana katika serikali mbili.
Suluhisho ambalo ndio litakalo dumu hadi...
Hatuwezi kufuta jina Tanzania kwasababu jina Tanzania tumelitangaza sana kiasi kwamba haitakuwa sawa kulifuta. Hivyo hata Zanzibar wakijitenga bado bara itaitwa Tanzania na sio Tanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.