KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
CCM wapotoshaji,wamelewa madaraka,hawana visionary politics,wapo gizani. Kwa kutazama maudhui ya ibara,madhumuni na malengo, uchambuzi na sababu ambazo ziliifanya tume ya mabadiliko ya Katiba...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, nimejaribu kutafakari sana kuhusiana na kauli ya rais wetu mh. Dr. JK kwamba ole wake atakaye jaribu kuuchezea muungano. Hivi dokta alimaanisha nini hasa hapa? Au ndio ndio mambo ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa namna mambo yalivyo katika Bunge la Katiba ni wazi kwamba zoezi hili limekwisha ingia dosari.Uzinduzi wake ulionekana kuwa wa kichama zaidi badala ya kubeba sura ya kiserikali,na huo ndio...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Wasalaam wana Janvi, Inasikitisha kuona Wasomi na Maprofesa analagaiwa na akina Nape na wenzake wanakuwa wajinga na kufumba akilizao anakuanza kulaghai umma na Ulimwengu mzima na kuacha kufuata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui Rais wetu karogwana nani na kwa nini hasomi alama za nyakati; Zanzibar wanataka madaraka kamili na walishasema wao ni Nchi nawakamzodoa Pinda, leo hii ni wanachama wa EAC, wanataka na wa...
0 Reactions
2 Replies
745 Views
Wapendwa wana JF, ninawasalimu asubuhi ya leo. Hongereni sana kwa sherehe nzuri za Muungano. Tumeliona Bunge letu la katiba likimaliza siku takribani 60 na viroja badala ya hoja, mizaha, matusi...
1 Reactions
1 Replies
732 Views
Goodluck Madeye amesema Bungeni kuwa anaunga mkono Muungano wa serikali 2 bila ya kuua jina la Tanganyika. Alisema: “Zanzibar iendelee kuitwa Zanzibar na Bara kuitwa Tanganyika, jina lake la...
1 Reactions
2 Replies
804 Views
Viongozi wa Cisiem walikosa utashi wa kutekeleza kikamilifu katiba ya sasa. Tuanze na kubwa la sasa, kuvunja katiba ya Nchi. Ni makosa makubwa sana yalifanywa kuacha Zanzibar irekebishe katiba na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wana jamvi hebu tujaribu kupima pande hizi mbili.bila kumweka pembeni aloteua tume na aloteua wajumbe wa bunge maalum. pia tujiulize ni kitu gani kilimfanya JK kuwageuka tume.ni muendelezo wake...
0 Reactions
2 Replies
825 Views
Hivi kweli Mh. JK taasisi yako ya usalama wa taifa haijakujuza kwamba joto la koti la muungano limeisha panda na koti limebana na kwamba ni muda muafaka wa kudadilisha wimbo na kuanza kuimba s3...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Waziri mkuu akihutubia Bunge kama sehemu ya mchango wake kwenye BMK. Amekiri kuwa Ofisi yake kama taasisi,na Ofisi ya makamu wa Rais kama taasisi Zilitoa mapenfekezo yao lkn anakiri kuwa yeye...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Wageni ni Dr. Lwaitama Peter Mziray Na wananchi wawili Kwa ufupi Mziray anadai yeye anawakemea vyama vikuu mf Chadema na Ccm kuacha uvyama na kuweka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Muungano wetu sio shirikisho bali ni muungano. Hii imetokana na kuwa ni muungano wa asili na sio tu kwa kuwa tumeamua kuwa pamoja. Ukiangalia historia tangu zama eneo la Tanzania bara na eneo...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Maalim Seif : Sikumuhujumu Aboud Jumbe Mwinyi Makala maalum kwa hisani ya (Salma Said) Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamo wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar/ Mikoani. Wakati leo ni maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa taifa la Tanzania, wasomi, viongozi wa dini, watendaji wa Serikali na wananchi wa kawaida...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Salaam wana jf,kuna propaganda zinazoenezwa kwa kasi kubwa sana na baadhi ya watu wakiwemo viongozi wakisiasa pamoja na baadhi ya wabunge wa bunge maluum la katiba kuhusiana na maoni ya liyomo...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Wapinzani wameingizwa mjini kwa kutupiwa mfupa wa KATIBA na kusahau kwenda vijijini kunadi Sera zao,huku chama tawala CCM wao wakupita na kutimiza ahadi zao chini ya Kinana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba ni Kiongozi wa Upinzani ambaye toka kujiunga kwake na upinzani amekuwa na mafanikio madogo sana kisiasa na Kiongozi wa chama ambacho aidha hakina Demokrasia ya...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Taasisi ya twaweza wamefanya tafiti ya kujua kama wananchi watapiga kura ya ndiyo au hapana rasimu ya katiba. Katika majumuisho yao kuwa 65% tz bara wamesema wanapiga ndiyo na 62% zanzibar...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu wana JF amabo nadhani ni great thinkers ingawa sina hakika kama wote ni GTs. Nawasalim and nawatakia tafakuri njema. Nilikuwa nafuatilia mjadala wa muungano kwenye bunge la katiba and mara...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom