KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wanabodi, Kuna hatari kubwa kwa Bunge Maalum La Katiba, kupelekewa "The Act of Union" na kudanganywa eti hizo ndizo "The Articles of Union!", wakati kiuhalisia, hivyo ni vitu viwili tofauti...
24 Reactions
85 Replies
10K Views
CA delegates out of practice, out of place, out of time... Me, I’m out of here SHARE BOOKMARK PRINT RATING By Jenerali Ulimwengu Posted Saturday, April 26 2014 at 12:13 SHARE THIS STORY 0...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Wakuu Baada ya kushuhudia maadhimisho ya miaka 50 ya tanganyika na zanzaibar na kuona vifaa mbalimbali vya kijeshi na baada ya JK kusema miaka ya 50 jeshi liko imara atayechezea muungano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali mbili zenye marais watano ni vague na pia ni gharama kubwa. Ni vema kuwa na serikali moja ya Tanzania. Serikali ya Zanzibar isiwepo kama ambavyo hakuna serikali ya Tanganyika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanaJf hiv nyie hotuba ya kikwete ya jana mmeielewa vipi? kikwete amepewa nchi ili atutishe kwa kutumia jeshi letu? n kumbe ule msemo wa kiingereza like father like son hapa kwetu kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu Mzee msekwa yeye yuko upande gani safari hii, kule kule kwa siku zote ama amebadiri?
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Nimefautilia matamko mbalimbali ya viongozi wetu kuhusu suala la mchakato wa katiba ni kuna kila ishara kuwa kuna hofu kubwa miongoni mwao. Leo nimebahatika kusikiliza mjadala kupitia DW (radio...
1 Reactions
5 Replies
959 Views
Ndugu zangu, Leo Bunge Maalum la Katiba limehairishwa mpaka tarehe 05/08/2014 bila jambo lolote 'tangiable' zaidi ya akina John Komba kutangaza dhamira zao za kujiandaa kuingia msituni na kwa...
0 Reactions
5 Replies
990 Views
Nimefuatilia kwa karibu kabisa kuhusu taarifa mbalimbali na maelezo yanayotolewa kuhusiana na muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania!! Maelezo mengi katika hayo ni...
0 Reactions
3 Replies
744 Views
Ndugu zangu mliosoma lugha naomba tusaidianeni kupata maan ya neneo Muungano u·nit·ed (yo̅o̅-nī′tĭd)adj.1. Combined into a single entity. 2. Concerned with, produced...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Maeneo ya kule kwetu mara kuna msemo unasema ""kiri omako ja juok" (ikiwa na maana kuwa kuna dawa ambayo ukimpa mtu kama ni mchawi lakini alikuwa anaficha,akinywa hiyo dawa anaanza kuropoka mambo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama tunataka kujenga muungano imara, tunapaswa kuwa na rais mmoja tu, yaani yule wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Halafu kila upande wa muungano uongozwe na mawaziri wakuu. Mmoja aunde...
4 Reactions
2 Replies
868 Views
HII NI KWA AJILI YENU CCM NA WAZEE WA SERIKALI MBILI Kabla ya kusema tumeungana tujiulize hili swali je umeungana/tumeungana na nani?na nini maana ya muungano?je matokeo ya muungano nini?kwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Mbunge wa wawi kwa ticket ya cuf Hamad Rashid mbona hajatoka bungen wenzake walivyotoka mwenye taarifa plez anifahamishe sbb za yule bwana kuganda mle
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Nime kuwa ni ki-comment katika post watu wengine kuhusu wazanzibar wanavyoshiriki katika bunge la muungano kuamua mambo ya Tanganyika lakini bado sijaona uchangiaji wa kutosha wa watu wengine. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Jana akiahirisha bunge, makamu mwenyekiti aliwakumbusha wajumbe kuwa wasome karatasi walizogawiwa kwa kuwa leo watafanya maamuzi magumu ya kubadili kanuni, ni kanuni zile zinazopigiwa upawa na...
2 Reactions
98 Replies
15K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto)...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Maskini Wana Mambo: Ati hadi hivi sasa Bunge Maalum la Katiba limetumia bilioni 27! Siku 40 kujadili kanuni na wiki karibu mbili kujadili sura ya 1 na 6! na hapo hata hawajapiga kura hata moja...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina taarifa ya uhakika kwamba serikali imeanza kutumia pesa za walipa kodi kuwashawishi viongozi wa vyama vya wanafunzi kushawishi wanafunzi wenzao ili watoe matamko ya kuunga mkono serikali 2...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wengi wanasema tumeungana na kudumu kwa sababu ya undugu uliokuwepo na mwingiliano wa jamii ZA Tanganyika na Zanzibar. Huu ni uongo na ni propaganda tu. Vita baridi Ndio ilikuwa sababu hasa ya...
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Back
Top Bottom