KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Rais JK anahojiwa na TBC1 Kuhusu katiba Sasa hivi.
2 Reactions
78 Replies
11K Views
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste Tanzania, William Mwamalanga, amewapongeza wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa kuondoka bungeni huku akisema wajumbe walibaki...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Katika Mjadala wa Bunge maalum la katiba kumebainika kuwepo na taarifa mbalimbali zinazosemekana ni za uongo kutoka kwa wajumbe wa Bunge hili. Achilia mbali sakata la kuwasilishwa kwa Hati bandia...
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Tarehe 26 mwezi huu wa nne,sherehe za Muungano,Lazima habari za muungano zitarushwa kwa wananchi,kuwaambia swala la serikali tatu au mbili,Tarehe 27 zitatolewa katika media yaani magazeti,redio...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ametajwa katika Bunge Maalumu la Katiba, kuwa miongoni mwa viongozi wa mstari wa mbele kupinga muundo wa serikali tatu mwaka 1984, huku...
1 Reactions
38 Replies
11K Views
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Asha Mohammed Omar amesema wananchi wa Pemba, visiwani Zanzibar walitaka serikali mbili na ‘kaserikali kadogo ka nkataba'. Alisema Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Kwa kipindi chote ambacho nimekuwa nikifuatilia vikao vya BMK nimepata mashaka-tena makubwa-juu ya mapendekezo ya Zanzibar juu ya msimamo wao kuhusu muundo wa serikali. Wajumbe walio wengi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana-JF nawasalimu! Tukiendelea kufuatilia mchakato wa uandikaji wa Katiba mpya ya Tanzania na kinachoendelea Bunge Maalum mjini Dodoma, tukumbuke na kuzingatia mambo yafuatayo: Mosi,wazo na nia...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana jamvi leo bunge la katiba lina akhirishwa kupisha bunge la bajeti la jamhuri,ni siku takribani 7 mpaka 8 ukawa hawapo bungeni je unakosa au umekosa nini tangu ukawa watoke bungeni?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana wakati akichangia sura ya kwanza na ya sita Proffessor Hamza Njozi alisema kuna watu wamesomea fitna na wana nia ya kuwafitinisha watanzania wagombane na ndani ya bunge la katiba wako watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni post niliondika kwa mmoja wa Wabunge la Katiba kutokana na reaction nilizoona akipongezwa kwa uwasilshaji wake akiwa Mwenyekiti wa Kamati ambao ulinivutia. Ana uwezo wa kujieleza, kupanga...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
Jana kwenye ukuta wake wa Facebook Hamiss Kigwangalla ameandika hivi... Hamisi Kigwangalla 2 hours ago via BlackBerry Smartphones App Leo nilikuwa kwenye mdahalo wa Katiba ulioandaliwa na...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajamii, Nashindwa kabisa kuelewa kwamba hawa wabunge wa katiba wanania njema na sisi au wanataka tufahamu kuwa sisi wanainchi tutake tusitake tutabidi tukubaliane na maoni ya ccm na pale...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jumuhiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar maarufu kama Uamsho wameamua kufunguka dhidi ya Mhe. Lukuvi kutokana na kukihusisha kikundi hicho na vurugu za uchomaji wa makanisa na mauaji ya...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
ZANZIBAR. Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM,Mzee Hassan Nassor Moyo amesema wajumbe wa CCM ndani ya Bunge la Katiba wanatakiwa kujiuliza sababu zilizolifanya kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi...
2 Reactions
3 Replies
941 Views
"Mjadala wa Katiba: Mjumbe K. Singo amesema kuwa kuwatambua raia waishio ughaibuni kwa kuwapa Uraia pacha kutaifanya Tanzania kuongeza pato la taifa!" "wadau mbalimbali wameijadili hoja...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
CCM wamekiuka hata ushauri wa Amos Wako waliyemualika wenyewe kuja kutoa uzoefu wake ktk semina. Wako aliwashauri kuwa waandike ktk kwa kuangalia mambo makuu mawili tu nayo ni: 1. Historia ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bunge maalumu la katiba limetoa kadi ya njano kwa chama tawala ccm. Ni muda mrefu ccm wamesema CUF ni chama cha kiislamu na CHADEMA ni chama cha kikristo. BMK limeviunganisha hivi vyama pamoja...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Tafadhali soma maelezo haya. "HOFU" ADUI MWENGINE WA TANZANIA, KATIBA MPYA Bora tu itangazwe kuwa HOFU sasa ni adui wa nne wa Tanzania baada ya maradhi,ujinga na...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametoa siri ya msimamo wa majeshi ya Tanzania kuhusu muundo wa Muungano wa sasa. Jaji Warioba ametoa siri hiyo huku...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom