Ni Takribani Wiki Tatu sasa Tokea Mh. Tundu Lissu atoe Hotuba ambayo ilipelekea Kile Kilichoitwa "Hati ya Muungano" kuwekwa Hadharini.
Kilichofatia Baada ya Hoja ya Lissu ni Baadhi ya Watu...
nafuatilia hotmix eatv sasa hivi bw. Mushi anatoa ripoti ya utafiti uliofanywa na Twaweza na inaonesha kuwa ripoti hii inashsbihiana kabisa na maoni yaleyale yaliyotolewa na tume ya jaji warioba...
ASKOFU wa Kanisa la Methodist Jimbo la Dodoma, Joseph Bundala, amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi, atubu makosa yake ili asamehewe. Lukuvi akiwa katika sherehe za...
Waziri wetu kipenzi wa Fedha Sada Mkuya leo kasema alishindwa kuhudhuria baadhi ya vikao kutokana na kuwa na safari za nje ya nchi yeye pamoja na waziri wa fedha wa zanzibar wakishugulika na mambo...
Kila kitu hufanywa kwa sababu lakini inaweza isjulikane kirahisi.Huu ndo wakati ambao watu tumefikia kuwaza hivi juu ya mchakato mzima wa rasimu ulvyofanyika na kwa mbwembwe kubwa za chama tawala...
Wawakilishi wa wafugaji, wavuvi,wafanyakazi, chama tawala,wakulima, matatibu na makundi mengine ya kijamii (ukiondoa vyama vichache vya siasa); wanaunga mkono muundo wa serikali mbili ( ushahidi...
Thursday, April 24, 2014
Mwenyekiti wa jukwaa la asasi za kiraia na kigoda cha Mwl. Nyerere Foundation Mzee wetu Butiku, akifunguka kwa wajumbe wa jukwaa la asasi zisizo za kiserikali...
Kwa sasa nakuita mzee umekuwa my "role model" watakaokutukana najua sababu zao kufanya hivyo. Ukweli haujawahi kushindwa na hila kamwe. Mungu akujalie na akupe moyo wa ujasiri, moyo wa uoga ukae...
Mimi nilichokiona kwa wafuasi wa ccm hasa wa bunge maalumu la katiba ni kwamba wao wanaunga mkono serikali 3 ila kwa sababu chama changu/chao ni sera ya ser.3 wanalazimika kuwa waumini wa s2...
Wana jf
Kama mnakumbuka kafulila wakati anawakisha hoja za wachache alisema iwapo ccm wataendelea na msimamo wao itapatikana katiba ambayo itapingwa na hivyo kudai katiba mpya na wakati huo...
Nimesikia maneno mengi mazuri na mabaya kutoka kwa wanasiasa na wananchi kuhusu hii jamhur ya muungano!! ni kweli huu Muungano umeundwa na wanaadam na unaweza kuvunjwa au kudumishwa, je unafaida...
THURSDAY, APRIL 24, 2014
Na Karoli Vinsent
SIRI ya Serikali kuzima maandamano pamoja Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA)Nchi nzima,HABARI24 imedokezwa siri hiyo.
Sababu hiyo ni ya...
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wanaounda kundi la 'Tanzania Kwanza' wamezungumza na Waandishi wa habari leo na kuelezea mipango na mikakati watakayoichukua wakiwa nje ya vikao vya Bunge hilo...
Wadau, amani iwe kwenu.
Mtakumbuka kuwa tarehe 17 Aprili 2014, Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wanaojiita kwa jina la UKAWA, walitoka Bungeni Mjini Dodoma wakati wa mjadala wa Rasimu ya Katiba...
Tusikilize hoja za wananchi wa kada mbalimbali wakichangia kuhusu muundo wa muungano. Sio wale wanaojiita ETI WASOMI. Wanajamvi fuatilieni na tutoe tathmini..
Salamu kwako nchi yangu mpendwa Tanzania Lengo la kuandika barua hii ni kukupa pole na machafuko yatakayo tokea kabla ya muafaka wa serika tatu au mbili ktk katiba yako...
Wanajamii forum,Naomba niwasilishe video ya mchango wa mama Tibaijuka alio utoa ivi karibuni wakati akichangia katika bunge la katiba,hii ni kutokana kwamba naona ameingia mitini,ivyo naomba...
Hivi huu msemo ninaosikia kila siku hasa ktk kwa Wapinzani kwamba wanakwenda kushitaki kwa Wananchi, ni wananchi gani hao wanaowaongelea?
Utafiti wangu unaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 80 (na...
Ili utata umalizike inabidi wajumbe wote waliokusanya maoni yetu kuhusu katiba mpya waende mbelw ya wabubunge wa katiba kuelezea kwa undani jinsi walivyokusanya maoni na kutolea ufafanizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.