KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Nilizichambua takwimu za Tume kuonyesha kuwa hicho kinachoitwa asilimia 60, sio asilimia 60 ya Watanzania, ambao idadi yao yapata milioni 45.Kadhalika sio asilimia 60 ya waliotoa maoni katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara kwa mara utawasikia baadhi ya wajumbe wakisema wananchi wangu wamenituma nitetee Serekali 2. Mbona hatujawaona mkiitisha mkutano wowote na mkatuuliza sisi wananchi? Ni wananchi wapi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa nishati na madini aliyeshindwa kuongoza na kutimuliwa, ameonesha jinsi gani ni kilaza, kasema eti wao BMK ndio wamebeba hatima ya wananchi na chochote watachoamua ndo mwisho. Amesahau...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemsikia mbunge wa bunge maalum la katiba Paulo Makonda akichangia na kuwaita Pro Lipumba, Mbowe,Jussa na Lissu kuwa ni watoto wa shetani na akapigiwa makofi sana na wajumbe waliopo ukumbini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha uhakika ila habari ni za kuthibitisha kutokana na iwapo kibali kimetoka. Maandamano makubwa yanaandaliwa aliyepo hiko atupe updates na kututhibitishia.
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Dodoma. Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahaya Khamis Hamad amesema wajumbe ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawajachukua posho wasiyostahili. Wajumbe hao wamekuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa nini ukishusha mzigo katika bandari ya Tanzania Zanzibar unatozwa kodi kidogo na TRA, angali ukishusha mzigo katika bandari ya Dar unatozwa kodi kubwa na TRA hiyo hiyo? Kuishi znz unatoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Ajira - wabunge wa kawaida na wale 201 walioteuliwa wamepata ajira na kulipwa ujira mzuri. 2. Mipasho - wasilikilizaji tumeburudika na mipasho lukuki, mfano Nyerere kuzoea vya kunyonga, kuingia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi na wapenda habari naomba japo siyo mwalimu nawaomba viongozi na wanasiasa waache unafiki. Nasema hivyo kwa sababu nimewasikia Mwigulu,Mwanry na Lukuvi sasa wameanza kujenga...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Mojawapo ya sababu inayosimamiwa na serikali ya chama cha mapinduzi (CCM) katika kupinga muundo wa serikali tatu uliopendekezwa katika Raimu ya Katiba mpya ni ukubwa wa gharama katika kuendesha...
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Mh, mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, nasikitika kuona jinsi wajumble wanavyochangia rasimu ya katiba kwa kuitukana tume ya rasimu hasa Warioba. wewe Kama mwenyekiti ulipaswa kuwaongoza vyema...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Salaam wana jf, Kumekuwa na hali ya sintofahamu juu ya mwenendo wa bunge maalum la katiba.hali hiyo imetokana na kila mtu kama sio makundi fulani kutafakari au kusema lolote ju ya rasimu ya...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Naomba mnijibu mnaotaka serikali 3,je marais 3 wakitoka vyama tofauti. Je si lazima muungano utakufa tu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati anachangia jana Bungeni Mama Lwakatare alisema "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, na kwa kuwa wengi wanataka serikali mbili basi serikali mbili ndio sauti ya Mungu" Sasa mimi najiuliza...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Ndugu wanabodi, tumekuwa tukisikiliza kauli za UKAWA (Umoja wa Katiba ya wachache) wakijinasibu kuwa wao ndani BMK ni wachache ila nje ya bunge wao wako wengi. Hili jambo halina mashiko hata...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
http://youtu.be/aoW9pHKIi3Y
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya wajumbe kususa, ccm oneshenyi umahiri wenu na ukomavu wa kisiasa kwa sasa ni muda muhafaka kujenga hoja na kuachana na hao walio toka nje ya bunge msibweteke kwa hoja nyepesi zisizo na...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Kwa wabunge wenye akili na wasiochumia matumbo yao, baada ya UKAWA kujitoa katika BMK, wangeahirisha Bunge hilo mpaka ama UKAWA au wajumbe wengine ambao idadi yao ni sawa na wajumbe wa UKAWA...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Deo Filikunjombe, Mbunge wa Ludewa Mbunge Filikunjombe akisikitikia yanayoendelea bungeni Dodoma akiwa nje ya nchi kwa matatizo ya kuuguza familia yake ameandika maoni haya kwenye facebook...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Taifa letu la Tanzania hivi sasa lipo kwenye kipindi kigumu lakini muhimu cha kutengeneza mustakabali wake upya kupitia RASIMU ya Katiba mpya inayojadiliwa Bungeni ili hatimaye ije kuwa Katiba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom