Kauli ya Askofu Mtetemela
Katika mchango wake, Askofu Mtetemela alilieleza kukerwa na kauli ya Profesa Lipumba kuliita Bunge la Maalum la Katiba kuwa linafanana na kundi ovu la Italahamwe...
Miaka miwili iliyopita kila mzanzibar alitakiwa awe na kitambulisho cha kumuonyesha yeye n mzanzibar.! Lakn mwaka huu nimepewa taarifa na mama yang yupo pemba kua wameambiwa wawe na kitambulisho...
Juzi, Tundu Lisu akichangia ktk Bunge la Katiba alitoa madai mazito kuwa kwa Katiba ya sasa ya Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, hapigiwi mizinga 21 kama Itifaki...
Nimefuatilia,nimesikia na kujua kinachoendelea Bunge Maalum la Katiba. Pamoja na kujua kwangu,bado nina swali kwa watanzania wenzangu: Bunge hilo linajadili Rasimu ipi? Iko wazi kuwa Rasimu ya...
Bunge linaendelea leo na wajumbe wanaendelea kutoa michango yao kuhusu sura ya 1 na 6.
Mh. Abdalah Bulembo,
Anasema kuwa yeye ni muumini wa s2 na atazitetea sana.Anasema 4 aprili wakati wapo...
Amemuiga Pinda!
Anasema amekosa usingizi siku tatu kuwaza jinsi Waasisi walivyotukana.
Ameanza kulia na kutoa machozii!!
Anasema kumtukana Karume na Nyerere ni sawa na kumtukana baba ake mzazi.
Amani itawale kwa wote.
Hakika hapa nilipo nina furaha kwa kumuona mheshimiwa mjumbe mwakilishi wa wavuvi katika Bunge maalum la katiba akitoa Maoni yake bila kujali upinzani.
Yani huyu jamaa...
Tunawaona wamesambaza watu wao, wanafanya mikutano ya ndani na hadhara, juu ya rasimu ya Katiba Mpya, badala ya kujenga hoja, wanapiga kelele. Kelele ziko zaidi kwenye muundo wa muungano, hususan...
Ndugu wanaukawa na watu wote wenye mapenzi mema na hii nchi. Naomba ukawa msisahau kudai katika matwaka ya kurudi kwenye bunge la katiba kwamba ni lazima baadhi ya wajumbe wa bunge la katiba waje...
wanajukwaa katika hali ya mambo inavyoendelea bungeni kuna hoja nyingi za kutetea Mfumo wa Serikali 2 lakini napata shida kuwaelewa Wajumbe wanaodai Eti Wanashangaa Toka lini MOJA JUMLISHA MOJA...
Nivyema Jaji Warioba akaitwa tena bungeni ili aweze kujibu shutuma wanazo mshutumu na amalize mvutao uliopo sasa. Lakini inaonyesha mzee Warioba bado ana vitu vingi kichwani mwake ambavyo vinaweza...
Wanajamii
Hebu nielezeni ukweli na kizungumkuti wa Bunge la Katiba hivi kweli tuaamini kuwa baada ya kumalizika wote waende Milembe? Sio mimi bali kiatuni katika gazeti moja wiki hii.
Upande...
Ningependa msome maneno haya ya Mungu kutoka Biblia Takatifu, Zaburi 1:1-2 na yana sema hivi;
Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji...
Mhadhiri mwandamizi mstaafu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) na gwiji wa sheria nchini, Profesa Issa Shivji (pichani), amesema ni muumini wa muundo wa Muungano wa serikali mbili tangu...
Asalaam,
Taasisi binafsi inayojihusisha na masuala ya kijamii imetoa majibu ya tafiti iliyofanyika iliyohusu watanzania wanapendelea MUUNDO gani wa serikali kuelekea maadhimisho muungano...
Bunge maalumu lipo katika mjadala ambao kwa mujibu wa ratiba ya bunge maalum hoja iliyopo mezani ni kujadili taarifa za kamati za bunge maalumu juu ya sura ya kwanza na ya sita katika rasimu ya...
pengine wengi mtashangazwa na msimamo wangu,mi naunga mkono serikali moja mbili na tatu at the same time kwa conditions zifuatazo.kama tunataka tudumishe muungano kweli na tupunguze gharama tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.