KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Dar es Salaam. Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeungana na maaskofu mbalimbali kuwataka wajumbe wa Bunge la Katiba kuheshimu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa kwa mujibu wa sheria na Tume...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama nia ni nzuri ya kupata katiba ya Wananchi, na tume ya Warioba ndio iliyopewa wajibu wa kukusanya maoni ya Wananchi, iweje leo ukereke wanapotoa ufafanuzi wa yaliyomo katika rasimu? Unapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa wananchi mlio watuma UKAWA. Mpaka muda huu sijielewi malengo yenu n malengo yao.Kwanini tunafika huko?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani hata hilo bunge lisengekuwepo usifikiri kama kungekuwa na mabdiliko yoyote yale, Usitegemee kama hiyo fedha kama ingejenga barabara wala shule, Pamoja na kwamba bunge hilo limetumia...
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Ndugu zangu wana JF na watanzania wote habarini za asbh, Kwanza kabisa napenda kuwauliza swali wajumbe walio wengi wa bunge maalum la katiba wanaotetea muundo serikali mbili. Hivi kweli wote akili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa bunge la katiba mheshimiwa Samweli Sita alikemea UKAWA kwa kwenda hatua ya mbali ya kufananisha CCM na intarahamwe na nilimuunga kwani kwani jamaa kweli walivuka mipaka lakini jana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bunge la katiba sasa latumika kumchafua Jaji Warioba,,,eti aligawa rushwa ili ashinde ubunge, Warioba hana nia njema ya nchii...kweli tutafika?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kutokana na hali ya mambo ilivyo ni busara mchakato huu ukasitishwa mpaka wakati mwingine. Kufanya hivi kutatoa fursa ya kutekeleza mambo mengine muhimu ya kitaifa kama chaguzi ambazo ziko...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ruksa kwa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya mikutano yao nchi nzima. Pinda...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Kinachoendelea juu ya katiba mpya ni dhahiri mchakato unavurugika.Mchakato huu uligharimu mabilioni ya pesa ambayo yangeweza kuelekezwa kwenye huduma muhimu za kijamii lakini kutokana na matakwa...
2 Reactions
0 Replies
902 Views
Ni ile iliyofanyiwa marekebisho ya 10 mwaka 2010 na kuleta mgongano na ya Muungano Alisema wakati Katiba ya Zanzibar ikieleza hivyo,Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sura ya 1 inaelezaa...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Ni bahati mbaya tu kwamba kuna watu wanafikiri wanaweza kuishi kwa kupika uongo kama huu! Unafiki wa Sitta na CCM wenzake wanataka kugeuza BMK fake linaloendelea kuwa ni kiwanda cha kutengeneza...
11 Reactions
44 Replies
5K Views
Nashindwa kuelewa awa wajumbe waliobaki kwanini kila anayeongea lazima aongelee UKAWA? Ichi si ndo mlikua mnataka kupitisha Rasimu yenu wenyewe ya serikali 2? Sasa nafasi mmepata nini sasa...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Naomba wana JF mnijuze kuhusu hii kitu, Hivi ile siku mzee Julius alipokuwa anachanganya udongo unaosemekana umetolewa Unguja ukaunganishwa na wa Tanganyika, je huo mchanga umehifadhiwa wapi? 2...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sikuamini masikio yangu niliposikiliza katika runinga ya TVZ mmoja wa wachangiaji akitoa maneno mazito sana kwa jazba akiuita mswada huo kuwa ni batili na kutoa tahadhari kwa wabunge wa Zbr...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Itakumbukwa kwamba nchi yetu imo katika mchakato muhimu sana wa kuandika katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hivi sasa mchakato huu umo katika hatua...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Hili niswali lakujiuliza tangu Rais wa nchi mpaka viongoz wote wa nchi. Tusikurupuke tutaleta machafuko mabaya sana nakumwaga damu yetu pasipo hatia. Tukumbuke wananchi wakichoka hata vifaru vyote...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za mchana wanajamvi. Nikiwa naamini kabisa walio wengi wanaotembelea humu Jf niwatu wazuri kabisa katika kujenga na kuchambua hoja mbalimbali, yote si kwa kujifurahisi bali nikwamalengo ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wandugu, Nimefuatilia kwa muda sasa post mbalimbali humu JF kuhusu bunge la katiba na kujitoa kwa UKAWA. Mpaka sasa sijapata maelezo ya kiueledi kuhusu uhalali wa UKAWA kujitoa na uhalali wa bunge...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
makonda amewambia uvccm wasiwavumilie wanaotukana waasisi wawashughulike,,source magezeti asubuhi rfa
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom