KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Msaada tutani, Hawatajwi popote isipokuwa kwa idadi yao. Kuna mwenye majina ya wabunge wa bunge maalum la Katika kati ya wale 201 walioteuliwa na rais ambao wameondoka bungeni? Sielewi kwanini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikuwa sijui kuwa Tanzania kuna mfungwa wa kisiasa. Zipo taarifa kuwa Abdu Jumbe, aliyekuwa raisi wa Zanzibar ni mfungwa akizuiliwa huko Kigamboni na hatakiwi kutoka wala kutembelea Zanzibar kwa...
5 Reactions
42 Replies
9K Views
Juzi magazeti mengi nchini yalitoa msimamo wa maaskofo wote wa kanisa Katoliki walioutanganiza kwenye makanisa yote nchini kuhusu Mchakato wa Katiba unaoendelea kwenye bunge la katiba. WanaJF...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muungano wa ghafla wa chadema na cuf una agenda kubwa nyuma ya pazia ambapo chadema wanataka kuitumia nafasi hiyo adimu kujijenga zanzibar, kujiimarisha na kukubalika znz. Ikumbukwe kuwa chadema...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
mbunge wa mahakama kapewa muda mrefu leo kuchangia bungeni zaidi ya dk 20 na samwel sitta anayejiita mzee wa viwango.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hapa kuna ajenda za siri ukweli mchungu ni huu hapa na nitaendelea kuwaletea siku hadi siku hata kama ni mchungu lakini ndio dawa sasa. UKAWA sasa imeingia kwenye mtego mzito wa UAMSHO na upande...
0 Reactions
94 Replies
11K Views
Mjumbe wa Bunge la Kariba anaewawakilisha walimu Mh Ezekia Oluochi ataongea na waandishi wa Habari wanaoripoti Habari za Bunge hapa Bungeni. Mapema leo Oluochi alimuomba Mwenyekiti wa Bunge la...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana jamvi hamad rashid hajatoka bungeni anaendelea kutetea serikali 2,je shibuda ametoka mjengoni pamoja na ukawa?au bado anatetea msimamo wa serikali 2?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka na kudai serikali 3 ni mzigo kwa Taifa. Wanawashauli Watanzania kuwa makini na viongozi wa Ukawa. Wameeleza kama kweli viongozi wa Ukawa wanania ya dhati...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
'Kila taifa lina ujinga wake katika kutunga katiba,lakini ujinga wa kizazi kimoja hauwezi kuwa wa kizazi kingine.Ujinga wa kizazi hiki,tusidhani utakuwa ujinga wa kizazi cha kesho,vizaz vijavyo...
4 Reactions
78 Replies
8K Views
Baada ya kutokuwepo kabisa kwa mchangiaji yeyote bungeni anayesimamia serikali 3, bunge lilikosa mvuto na kuonekana la kichama au mfano wa NEC ya CCM, kwa hofu ya kupoteza mvuto wa vikao vya bunge...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Jambo Tanzania leo TBC1 amesema hakuna haja ya Serikali tatu. Kikubwa kinachotakiwa ni kutatua kero za Muungano maana hakuna uzoefu wa Serikali tatu popote duniani
0 Reactions
102 Replies
8K Views
Nimegundua bunge la katiba ni UKAWA maana toka wametoka wachangiaji wamepooza sana pia wamepoteza kujiamini kabisa kwenye uchangiaji Namsihi mwenyekiti SITTA aendelee kujitahidi kuwapigia magoti...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Je? Kuna uhalali wowote kisheria,kwa vikao vya bunge maalum la katiba kuendelea? msaada juu ya hili, je kuna uhalali wa vikao vya bunge...
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Wana JF na Watanzania, Tangu kuzinduliwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kumekuwa na upotoshaji mkubwa ulianzishwa na Rais Kiwete mwenyewe wakti akizinduwa Bunge hilo. Upotoshaji huo ni kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau tujadili hii kidogo. Nianze na Zanzibar: uhuru wa Zanzibar ni wa uongo, historia ya Zanzibar ni ya uongo. Muungano msingi wake ni uongo historia ya muungano ni ya uongo, viongozi...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
TO. MR. SAMWEL SITTA & OTHER LEADERS IN TANZANIA conflict is a fact of life...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilipotea kidogo kuwapa habari za ndani kuhusu yanayoendelea ndani ya Bunge maalum la katiba. Jana kulikuwa na kikao cha kamati ya uongozi kujadili kuhusu kujitoa kwa UKAWA ndani ya bunge hilo...
1 Reactions
173 Replies
37K Views
..matatizo mengine huwa ni ya kujitakia kwa kweli. ..wananchi, wabunge, wanaharakati, etc etc kwa miaka mingi wameomba kuonyeshwa hati hii. ..kwanini serikali ilichukua muda mrefu kiasi hiki...
13 Reactions
152 Replies
12K Views
Wana JF, Mara nyingi mimi nimeshasema kuwa Media au Vyombo vya Habari Tanzania zina upotoshaji mkubwa sana wa habari. Hii inapelekea kuwachanganya akili Watanzania na hivo kushindwa kuamua kipi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom