KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Viongozi na wafuasi wa UKAWA mamlalamikia Mwigulu Nchemba kwa kufuta posho zao. Siku chache baada ya Naibu Waziri wa fedha kufuta malipo ya wabunge waliosusia vikao Dodoma, kundi hilo...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Mzirai ni mnafiki wala si mpinzani.Amekubali kuwa mtumwa na mfuasi wa watawala yaani ccm.Huwezi kuhubiri serikali 2 zilizoboreshwa wimbo wa maccm ili yaendelee kutawala nchi hii. Hongereni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka avae rasmi magwanda ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na gazeti hili, Msigwa ambaye pia ni...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Nasema nyie wote ni majambazi na mna maslahi yenu binafsi CHADEMA, CCM, na CUF mnaiangamiza nchi yetu wote ni waroho wa madaraka hamfai ata kidogo tena ni wasaka tonge wote wezi, wauni, waroho...
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Wadau ningependa kujua huyu prof msimamo wake ni nini na je ni miongoni mwa wale walotoka ama hapana?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mchana wanajamvi. Nikiwa naamini kabisa walio wengi wanaotembelea humu Jf niwatu wazuri kabisa katika kujenga na kuchambua hoja mbalimbali, yote si kwa kujifurahisi bali nikwamalengo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama CCM na wajumbe wao wanaamini rasimu ya katiba mpya haikutokana na maoni ya wananchi wanafanya nini pale Dodoma? Kwa nini hawakuikataa mapema? Hata sasa kwa nini wajadili kitu ambacho si cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA JUU YA MJADALA WA KATIBA MPYA BUNGENI. TUSIWAPUUZE VIONGOZI WA DINI - UKWELI HAUPENDI KUPUUZWA PUUZWA. Nimefuatilia kwa umakini sana mjadala uneondelea sasa katika vyombo vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya WATU WA Zanzibar. Suali hii Jamhuri...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Waliokuwepo au wanaojua vizuri kuhusu muungano wa nchi hizi mbili, wanatueleza ya kuwa hati ya muungano ya mwaka 1964 na hii inayotumika katika katiba ya mwaka 1977 ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Salaam wana jf,mimi ni kiwa mwana ccm nimeshangazwa sana na msimamo wa ccm katika muundo wa muungano kuwa ni serikali mbili.mimi kama mwana ccm na kiongozi kwenye eneo langu ninapenda kukiri...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Mimi naona ni kama huko tuendako kuna uwezekano mkubwa kama serikali tatu kulingana na matakwa ya wananchi itapita kutakuwa na utata katika muundo wa serikali Rasimu Inapendekeza Muundo wa...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
1. Utangulizi UKAWA ni Umoja wa Kutafuta Katiba ya Watanzania, ambayo imehasisiwa na vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na CHADEMA. Katika kuwepo kwake UKAWA imewafungua wananchi wengi macho kuhusu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana JF, Kutokana na hiki kinachoendelezwa na wanaojiita UKAWA, sidhani kama kuna mwananchi anayeweza kumtuma kiongozi wake sehemu yeyote ile kwenda kufanya vurugu au tofauti na suala la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Crimea imejitoa Ukrane ikajiunga na Urusi nchi kubwa, bado kuna kipande cha Ukrane Mashariki nacho kinataka kiende Urusi. kwanini tunakuwa inferior kwa Zanzibar? Tanzania tunatumia nguvu kubwa...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
KITAIFA Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa magazeti ya Mwananchi Communications Limited nje ya Ukumbi wa Bunge Maalumu la Katiba, mjini...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya Kwa ufupi Aidha, amewashangaa wanaolibeza jina la Tanganyika kutumika serikalini kwa madai kuwa jina hilo siyo haramu kwa kuwa limo ndani ya Katiba ya sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema uamuzi wao wa kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge ni sahihi kwa kuwa ni njia ambayo imeonekana kwao kuwa inafaa kudai haki ya...
3 Reactions
97 Replies
7K Views
Wakuu hivi huyo mjumbe wa bunge la katiba mhe.TAWHIDA GABRIEL kabla ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa bunge maalum la katiba alikuwa wapi? hoja zake zimewakuna wengi sana naomba kumfahamu, hasa nje ya...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Ni vita ya maneno ya hoja kati ya Mchungaji Peter Msigwa na Askofu Mstaafu Donald Mtetemela Dodoma. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Peter Msigwa amemvaa Askofu Donald Mtetemela na kumtaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom