Wana JF.
Iko wapi Imani ile ya zamani ile ya kwanza ya mitume imepotea kwa watu wa MunguIko wapi ile imani ya kwanza, japo ni ndogo itafanya mengiiii, ... Huu ni wimbo niliusikia...
"Na Francis Godwin, Iringa
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
Leo asubuhi katika kipindi cha nipashe radio one nimemsikia naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na mjumbe wa bunge la katiba mh.Job Ndugai akisema, hatuwezi kupata katiba mpya...
Nimekuwa na mashaka sana na kinachoendelea katika bunge la katiba. Kikubwa hapa ni kukosekana kwa majibu ya maswali mengi likiwepo ili la faida ya kuwa na serikali tatu. Ukiangalia kwa kina majibu...
Nimekuwa nafuatilia namna mijadala inavyoendelea ndani ya Bunge la katiba, mijadala mingi imekuwa inaonyesha namna gani Mh. Jaji Warioba na wenzake wamekuwa watovu wa taaluma na wasiopenda...
Leo katika pitapita zangu,nimekutana na vijana wawili,watanashati wanasifia UKAWA.Hawa vijana walikuwa karibu na kituo cha bodaboda KLC ,Singida mjini.
Kilichonishangaza ni pale walipo anza...
Waungwana,
Siasa ya Tz imeingizwa sumu sasa kwanza ninapenda kujitambulisha rasmi na kuweka wazi ukweli na imani yangu
Mimi nikisimama popote pale kama mzanzibari ninajitambuwa kuwa ni raia wa...
Kuna tetesi leo hii kuwa Samwel Sitta ametua znz kujaribu kupata muafaka wa muungano kati yake na Maalim Seif pamoja na mzee Hasan Nasoro Moyo lengo ni kujaribu kuwadhawishi Ukawa warudi mjengoni.
UWAJIBIKAJI(Responsibility) Uwepo wa dola yenye fedha,Tanganyika au Zanzibar na dola yenye Jeshi Tanzania kutatoa ukiritimba wa ufisadi ambao hutokea na hamna paka wa kumfunga mwenzie...
Baada ya UKAWA kususia vikao vya bunge la katiba,zaidi ya wajumbe 68 na wabunge wa majimbo 20 kujitoa nao katika vikao vya bunge la katiba.Wameona kwamba hakuna umuhimu wa kuendelea kukaa humo...
Thursday April 16th 2014
Julius S. Mtatiro
TUMEJIONDOA RASMI KATIKA MCHAKATO WA KATIBA!!
Tumeamua kuwaachia CCM waendelee na mchakato wa katiba
wanayoitaka.
Kwa sababu wameyakataa maoni ya...
Sasa kulikuwa na haja gani ya kuandika katiba? si wangefanya marekebisho ya katiba tu.
Kingine, tabia ya viongozi waafrika kufikiri kwamba wao ni viongozi basi wana akili kubwa za kuyafinyanga...
Kwa maoni ya wananchi, Ukawa ndani ya bunge la Katiba mpaka sasa hivi Muungano huu si Halali
Je Serikali kwanini iendelee kutumia nguvu,gharama kubwa kwa kuulinda Muungano huu?
Gharama hizi...
Wakuu
Mheshimiwa Lukuvi alikwenda kutoa mahubiri hayo (kwenye link) kumuwakilisha Waziri mkuu, anacho kizungumza hapo bila shaka huenda kikawa nikwa niaba ya Waziri mkuu, na naamini hivyo maana...
Mzee huyu nguli yupo ndani ya kipindi hiki na anajaribu kuzungumzia uundwaji wa katiba yetu tuitakayo kutokana na rasimu ya pili ya katiba.
-anashauri kuwa maridhiano ni muhimu ambapo anatolea...
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam mwadhama kardinali pengo akiwa amefuatana na maskofu wake wasaidizi amesema wajumbe wa bunge la katiba wanatakiwa kuheshimu maoni ya wananchi...
Ndugu zanguni,
Nimekaa nimejiuliza suluhisho rahisi ya huu mzozo unaoendelea kuhusu serikali mbili au tatu na nimepata ufumbuzi mzuri wa kudumu
Tukubali serikali mbili, nazo ziwe kama hivi...
Nchi ya Zanzibar iliungana na Tanganyika ikazaliwa Tanzania. Zanzibar kuna Rais Ally Mohamed Shein. Naomba nijulishwe rais wa Tanganyika ni nani? au Tanganyika haijapata uhuru wake?
Kero kubwa zaidi ya muungano ni Tanganyika kuvaa koti la muungano, hili ni kero kubwa sana tena sana ila nashangaa haihesabiwi miongoni mwa kero za muungano....Hii kero ni kero ya pande zote kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.