Ndugu zangu, hebu na totoke usingizini. Tuamue kuwa na serikali moja. Nchi itaona miaka ya umoja na maendeleo. Watanganyika, wazanzibari, hii ndiyo njia.
Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wametoa waraka maalumu wa Pasaka wakiwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu maoni ya Watanzania yaliyomo katika Rasimu ya Katiba na kuweka...
"Na Francis Godwin, Iringa
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
Tanganyika Tanganyika
Nakupenda kwa moyo wote.
Nchi yangu Tanganyika
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanganyika Tanganyika
Jina lako ni tamu sana...
Wala hakuna ubishi katika hilo.Ni Zanzibar ambako vugu vugu la kudai mabadiliko hasa ya muundo wa mungano na kelele za mabadiliko ya katiba ndiko yalikoanzia.
Ni Zanzibar ambako ile thuluthi 2 ya...
Ndugu watanzania, hili suala la muungano lishaleta taabu mpaka hivi sasa. Ukitaka kuamini kauli hii ni kwamba fuatilia mikutano ya bunge maalum ya katiba. Mpaka sasa wameshindwa kuamua ni serikali...
Peter Kalihose > TANURU LA FIKRA Nimezipata kwenye chanzo cha kuaminika: Sultan
Sayyid Jamshid bin Said yupo nyuma ya UKAWA
na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia kwamba...
Forgive them, Lord, they only just missed boarding Flight MH370...
By Jenerali Ulimwengu
Posted Saturday, April 19 2014 at 08:41
It is going to be an even more expensive undertaking in...
Nimekuwa nikitafakari juu ya jina la chama tawala [chama cha mapinduzi] kuanzia mwaka 1977 ikiwa ni muunganiko wa TANU na ASP. Nikaenda mbele zaidi kwa kuwauliza baadhi ya wakongwe wa siasa ambao...
Mhe Sitta ni mwanasiasa wa mbwembwe za kisiasa.
Alipoingia kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2005,anakumbukwa sana kwa kutoa sifa zake hadharani kuwa atakuwa Spika wa...
Kwa bahati mbay sana Watz wengi si watu wenye kuchukua muda mwingi kujiuliza mambo ya nyuma na kutafakari. kama mtakumbuka mwaka 1995 baada ya uchaguzi mkuu kulizuka mtafaruku mkubwa Zanzibar hali...
Wadau jamvini jf;
Ccm ni utawala unaodondoka na unakaribia mwisho. Utawala kama huu huwa unajukita ktk utetezi wa kujilazimishia kupendwa na wananchi. Hata Gadhafi wa Libya hadi miezi kadhaa...
Kumekuwa na kasumba ya tabaka fulani kutumia mbinu chafu pale linaposhindwa kwa hoja. Mbinu hizo ni pamoja na kutumia vyombo vyote ilivyonavyo kulazimisha matakwa yake. Ni wazi kuwa hakutakuwa na...
Katika hari isiyo ya kawaida , star tv wameipotezea habari waliyoitoa kwanye muhutasari wa habari yao ya saa mbili usiku leo hii. Habari ilihusu mahubiri ya Askofu huyo kuwaambia wajumbe wa bunge...
..wa-Tanganyika tunawabeza wa-Zanzibari kwamba hawajiwezi kiuchumi.
..tunawasimanga kwamba nchi yao ni masikini na si lolote si chochote.
..pamoja na kejeli zetu hizo, sijawahi kuona picha...
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa waumini wanaosali katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), linaloongozwa na Askofu Mkuu Zachary Kakobe, zinaeleza kwamba, Jumapili iliyopita katika...
Ivii ZZK pamoja na kuonekana ni mamluki na ukizingatia mmgogoro uliopo kati yake na CHADEMA ,Vipi hali yake kwenye hii movement ya UKAWA .. au wamemtenga na huku . ?? ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.