KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Haya ni baadhi ya maswali na majibu kama yalivyotolewa na Raisi Kikwete katika mahojiano maalumu na Kituo cha Televisheni cha NTV kilichopo chini ya Nation Media Group (NMG). NTV: The current...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Katikati ya mjadala wa ama tuwe na Muundo wa Muungano wa Serikali Mbili au tatu, likaibuka suala la kuwepo ama kutokuwepo kwa Hati ya Muungano, uhalali ama uharamu wa hati hiyo. Mojawapo ya hoja...
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Wana jamvi nimedokezwa toka katika press kuwa ratiba ya vikao muhimu vya ndani kukutana na wadau na wananchi katika maeneo yote znz zen maandano makubwa yatafanyika znz siku ya jumatano,baada ya...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Nawakumbusha wajumbe wa UKAWA suala zima la kuwa makini na kuchukua tahadhari ya hali ya juu sana kwa maisha yao kwa kila dakika ipitayo, tusijesikia ghafla habari za kutekwa, kusulubiwa...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Hatua iliyochukuliwa na Ukawa katika bunge maalum la Katiba kususia bunge hilo, si busara ususiaji kuwa wa moja kwa moja, ingefaa ususiaji huo uwe wa muda mfupi kisha warudi bungeni kwa lengo la...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Viongozi wa UKAWA leo Jumamosi majira ya saa 8:00 za mchana watakutana na waandishi wa habari (Press conference) hapa Zanzibar. Mkutano huo na waandishi wa habari utarushwa moja kwa moja na kituo...
4 Reactions
107 Replies
16K Views
Kumekuwa na ghiriba nyingi toka kwa CCM kupinga serikali 3 na sasa wanatumia Vyombo vya Dora kuzuia mikutano ya vyama vya siasa wakati Kinana na Nape wakizunguka nchi nzima kunadi sera za CCM...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Naombeni muniambie kirefu cha UKAWA?
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Kikwete na CCM yake wanajitanabahisha kuwa "wanamuenzi" Nyerere ambaye alikiri hadharani kuwa hatawapiga mabomu Wazanzibari wakidai mamlaka yao. Naamini kwa sababu hiyo hiyo Kikwete hataamuru...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
vipi maandamano ya UKAWA ni lini naulize nijue siku maanake nisijekushiriki halafu nikapatwa na matatizo nikashindwa kuhitimu degree yangu ya kwanza mnamo mwezi wa sita mwaka huu
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Nimekuwa nikifuatilia mambo yanavyoenda ndani ya Bunge la Katiba na hasa kuhusu sakata la Hati ya Muungano (Articles of Union). Mwanzo tuliambiwa kwamba hiyo kitu haipo, wengi tukaanza kuamini...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
KATIBA YA ZANZIBAR 1984 TOLEO LA 2010 1.ZANZIBAR NI NCHI AMBAYO ENEO LA MIPAKA YAKE NI ENEO LOTE LA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA PAMOJA NA VISIWA VIDOGO VILIVYOIZUNGUKA NA BAHARI YAKE ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nasikitishwa sana na kinachoendelea Dodoma, kwani kwa mtazamo wangu si sahihi kuacha kujadili mambo ya msingi yanayohusu mustakhabari wa watu zaidi ya milioni 45 na kujikita na issue ndogo...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
wengine bora wajue kuwa katiba ni ya nchi na sio ya ccm kwahiyo tukubali hata Muungano kwa sasa ni FATIQUE
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Kuna kigugumizi kwa CCM kukubali pendekezo la serikali 3 kwa hoja dhifu ya kuvunja muungano bila kutaja mambo yanayovunja muungano. CCM wanaona serikali mbili zikiboreshwa zitatatua kero za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi wapi mchungaji mtikila katika ukawa?mbona simwoni mtikila katika mapambano ya kuidai tanganyika au amekwisha polizwa na walio wengi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na mpasuko katika bunge letu la katiba, na kikubwa ni kuhusu muundo upi wa muungano unafaa? Sioni kama kuna sababu ya wao kurumbana kuhusu hilo wakati kanuni ziko wazi kwamba wananchi...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Katika hali ya kushangaza Jumuia ya UKAWA imeundwa na watu walioferi katika kila kitu cha mafanikio waliwahi kufanya! Ukitoa maalimu Seif ambaye mpaka sasa rekodi yake bado haijavunjwa pale...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Enyi Wajumbe wa bunge maalumu la katiba . Sioni haja ya nyie kuendelea kubishana , kutukanana na kuzira vikao vya bunge . Mamilioni ya kodi ya wananchi yanapotea bure . Hayo yote yaachwe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MABADILIKO NA MABORESHO YA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. CHINI YA KANUNI YA 33 (80) (a) YA KANUNI ZA BUNGE MAALUM ZA YA 33 (80) (a) 2014. SURA YA SITA (MUUNDO WA JAMHURI YA...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom