KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Nimeitafakari kwa makini dhamira ya CCM kung'ang'ania serikali mbili. Nimelazimika kuamini kuwa CCM hawautaki Muungano wetu. Nina hoja tano ambazo haziwezi kujibiwa kwa kufanya maboresho katika...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Hivi vuguvuga la kutaka katiba mpya alilianzisha nani kati ya CCM na Wapinzani? Je.kupatikana kwa katiba mpya kukifeli itakuwa furaha kwa upande gani? Naombeni maelezo yenu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na Mwenyekiti wa CUF Profesa...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Samuel Sitta Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, leo anatarajiwa kukutana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Muadhama Polycarp...
2 Reactions
87 Replies
8K Views
Naibu Waziri wa Fedha (Sera), Mhe. Mwigulu Nchemba Friday, April 18, 2014 Sikilia kwa makini Audio: Wizara yasitisha malipo ya Wajumbe wa Bunge la Katiba Wizara ya Fedha kupitia Naibu Waziri wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika Mchakato wa kujadili kanuni na Baadae Rasimu wale vijana machachali wa CCM sijawasikia vizuri. Nadhani huu ulikuwa mwanya mzuri na wao tuwajue. Mwenye update zao tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Saa 2 katika mihadhara iliyopangwa na ukawa hazitatosha kuwaeleza wananchi yale yote yaliyofanyika kwa takribani siku 70 katika bunge maalum bali ni unafiki na umbea. Kwa mtu mwenye akili na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na namna huyu msomi alivyokuwa anachambua takwimu za tume ya Warioba. Kwa mujibu wa huyu profesa na baadhi ya waumini wa serikali mbili wanakosoa takwimu za tume ya Warioba...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wakitoa maoni yao mbele ya tume ya katiba jana mkoa wa kusini Unguja, watu wengi waliotoa maoni yao wametaka kuwe na zamu katika kupokezana uraisi wa muungano na wametaka muungano uwe wa milele...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Shida kubwa ya watanzania ni ujinga, maradhi na umaskini. Watanzania wanahitaji shule zilizo bora, huduma za afya na kijamii zilizo bora. Serikali 1,2, 3, au hata 10 si hitaji la watanzania hilo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukawa walipanga njama tangu mda mrefu kukwamisha mchakato wa katiba ili wapate agenda za uchaguzi mwaka 2015. Fedha hizi tunazotumia zingewasaidia maskini kupata elimu, dawa na huduma zingine...
2 Reactions
70 Replies
6K Views
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri. Habari kutoka...
1 Reactions
137 Replies
21K Views
Wakuu naamini waumini wa dini zote wamekuwa wakiombea bunge la katiba hata leo sisi tumeliombea lakini nashangaa huko bungeni ni sarakasi na kuitana mashetani.matusi,fujo tupu.hizi sala zetu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu na wadau wa JF Napenda niweke bayana mawazo yangu kama mwananchi. nisiyeegemea chama chochote cha siasa katika nchi hii, kuhusu kupatikana kwa Katiba Bora na Mwaafaka kutokana na sababu...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Kukosekana kwa ukawa bungeni kumelifanya bunge kudoda.halna mvuto,ni upuuzi tu unaendelea kujadiliwa.hakuna lolote.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi wakati bunge maalumu la katiba likiendelea tumeshuhudia mengi sana ikiwamo raisi kuhutubia bunge hilo akiweka msimamo wa chama chake kuwa ni serikali mbili,pia tumeshuhudia wana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa tangu mwaka 1964 waziri wa mambo ya nje ameteuliwa toka bara na hakuna waziri wa mambo ya nje toka znz alie kua ful waziri ila manaibu wamesha wahi kutokea znz,je nini sababu?
0 Reactions
7 Replies
905 Views
Wana jamvi ccm wanasema wanadumisha muungano,mimi nataka kuona 2015 mgombea urais wa ccm wa muungano atokee zanzibar kama kielelezo cha kudumisha muungano;naomba kutoa hoja wana jamvi
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Katika jambo ambalo UKAWA wamefanya kweli na kusababisha bunge kuwa kibutu na kuwawachia MaCCM na vibaraka wao wakishangaana wenyewe kwa wenyewe na kila mmoja akimnyooshe kidole mwenziwe kuwa...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Ukiwa mjadala unaendelea Bungeni wa serikali tatu au Mbili Wafanyakazi wa serikalini na Tasisi Binafsi wameshauliwa kugom kabisa Muundo wa serikali tatu kwani ni mzigo kwao... wafanyakazi wa Ndani...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom