KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kwa sababu waliobakia wote katika Bunge maalum La Kutunga Katiba ni wajumbe kutoka Chama tawala Cha CCM pia wakiwemo wajumbe wengine ambao nao ni wateuliwa kwa tiketi ya mlango wa nyuma wa CCM...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kweli wakati mwingine Watanzania tunaambiwa tuna usahaulifu sana; hivi watu wameshasahau alichosema Lipumba kwenye kadamnasi ya Waumini miezi si mingi iliyopita? Wengine tuliona kauli yake kwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
CCM na washirika wao wanaendelea kutoa vijembe juu ya kundi la UKAWA huku wakibeza umoja wao! Wanahoji juu ya ushirikiano wa CHADEMA, NCCR na CUF, na hasa ushirikiano wa CHADEMA na CUF, vyama...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Ndugu zangu watanzania tunatakiwa kukumbuka kuwa Nyerere alikuwa Binadamu kama sisi na pia alikuwa na mapungufu yake. Ni kuwa na mawazo mgando kufikiria kuwa hakuwahi kukosea. Katika kumkosoa...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Kila uchao jamii yetu imekua ikizidi kufanywa shamba la bibi kwa kulundikiwa mizigo ya kodi kila sehemu achilia mbali VAT, PAYE, Mikopo yenye masharti magumu, nk nk. Kibaya zaidi kodi hizo zimekua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UMIUNGU WATU, UFIKE MWISHO TUSIWASUJUDIE NA KUWATUKUZA WANADAMU Nimesikia mengi yakisemwa na viongozi na wananchi mbalimbali kwa kile kinachodaiwa kuwa Nyerere na Karume wametukanwa...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Mwaka 1992 "Wananchi Walio Wengi" walipendekeza Mfumo wa Chama Kimoja, yaani CCM uendelee, lakini busara za Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere zilliokoa jahazi! Watu sasa hivi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ni wazo ambalo laweza kuwa haliko sawa kisheria kwa sasa .... kulikua na mvutano mkubwa wa kura ya siri na wazi ... wakaamua kuwa na zote. kuna mvutano mkubwa katika uboreshaji wa rasimu...
1 Reactions
0 Replies
638 Views
Waungwana tatizo kubwa linaloikabili tz leo ni kwamba nchi inaendeshwa kiudini, na kwa bahati mbaya sana kuna vikundi fulani fulani vya dini vinadhani wao wana haki zaidi katik atz kuliko...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
KAMA ilivyo baadhi ya Wabunge baada ya kupata madaraka hukimbilia mijini, tabia hii imetuathiri sana wananchi wa Kiteto tunapokosa mwailishi wetu mf sasa hivi kuna matatizo lukuki wanapojitokeza...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
IMEELEZWA kuwa hakuna sababu ya kuendelea na Bunge Maalumu la Katiba, kama rasimu ya pili iliyopelekwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba inadhihakiwa na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Habari za Leo, Hivi juzi wakati Professor Ibrahim Haruna Lipumba akichangia Hoja katika Bunge Maalum la Katiba alidai kwamba wakati watu wanamwita yeye kuwa ni "Mchumi Mahiri" wamedai kwamba...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
"Each morning when I open my eyes I say to myself: I, not events, have the power to make me happy or unhappy today. I can choose which it shall be. Yesterday is dead, tomorrow hasn't arrived yet...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wanabodi, Tanganyika na Zanzibar ziliungana miaka 50 iliyopita na kuzaliwa Tanzania. Hakika hatuna budi kuwaenzi waasisi wa Muungano huu Mwl Julius Nyerere na Sheikh Karume. Kwani walifanya jambo...
0 Reactions
3 Replies
712 Views
Audio clip jinsi wabunge waliohitwa wachache lakini michango yao ikiwa mikubwa.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Binafsi mimi ni muumini wa serikali moja, Sababu zinazo nifanya niwe muumini wa serkali moja nikama ifuatavyo:- Serikali moja kwa maana TANZANIA itaundwa na Zanzibar pamoja na Tanganyika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa sababu kwa mujibu wa history, pwani yote ya bahari ya hindi iliyopo Tanganyika iliazimwa kwa wageruman 1886 kutoka zanzibar.
0 Reactions
4 Replies
852 Views
Sababu tumetupia mbali mawazo ya Tume na kuendelea na mawazo ya (so called Wengi Bungeni); naomba kuuliza hii Katiba ya Muungano tunayojadili, mambo ya Ardhi nayo yatajadiliwa ? Je ardhi itawekwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF naomba kujua maana ya neno intarahamwe maana leo limekuwa kila mbunge wa bunge la katiba anayesimama analalamika na kudaiProf Lipumba awaombe radhi kuwaita jina hilo la INTARAHAMWE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli..... 1. Ni ukweli mtupu kua ,kelele zote za ''ukawa"juu ya serikali tatu ni kugawana madaraka ,kati ya chadema na cuf .. Chadema - tanganyika . Cuf - zanzibar 2. Serikali...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Back
Top Bottom