KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
CCM kwa kushirikiana na serikali yake wanahangaika kuiaminisha jamii kuwa Tundu Lisu aliwatukana waasisi wetu na Mwl Nyerere. Kwa mtu makini na mwenye akili timamu hawezi kuyumbishwa na...
1 Reactions
2 Replies
831 Views
Msisite kugawa nchi yetu, kwenye hiyo katiba "yenu" mpya. Ila kumbukeni. Mkiwapa Zanzibar nchi yao kwa kuunda serikali tatu basi nasi wananchi wa kusini tutataka tupate nchi yetu kama jamuhuri...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
UKAWA: Uamuzi mliochukua wa kuwaachia bunge lao na kuanza kuandamana ni sahihi, maana bila kufanya hivyo watapiitisha katiba yenye mambo yao ya ufisadi ya na unyanyasaji.hakuna kurudi bungeni ili...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
SIKU moja baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na kauli za chuki, wananchi na vyama vya upinzani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo katika kipindi cha KUMEPAMBAZUKA kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RADIO ONE STERIO nimemsikia Kamanda Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya bunge maalumu la...
3 Reactions
88 Replies
11K Views
Viongozi wetu wa CHADEMA wanaishi kwa ulaghai, udanganyifu, uongo na unafiki. Mmewashawishi "bendera yafuata upepo" wa CUF na NCCR mageuzi(UKAWA) ili mjifanye wasafi. Kumbukeni katiba si...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Chama cha wacheza bao wameandaa maandamano makubwa kupinga mwalimu nyerere kutukanwa na tundu lisu. Maandamano yatakuwa siku ya jumamos kwa wale wote wanaopenda kujumuika wawasiliane na kiongozi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapo sasa Star Tv. Mwigulu simwewi maana anazungumza bila kuwa na data wakati mwenzake kaja na data kwa mara nyingine mchumi wetu kichwani hamna kitu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Naomba mnijuze wanajamvi km mh.Zitto nae alikuwa sehemu ya Ukawa jana. Km atakuwa ameungana na Ukawa natangaza rasmi kumsamehe makosa yake yote aliyotenda ndani na nje ya Chadema na kuanzia leo km...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Keep the dream alive. Pasaka njema ndugu watanzania .Many nights we've prayed With no proof anyone could hear In our hearts a hopeful song We barely understood Now we are not afraid...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Binafsi, nimesikitishwa sana na baadhi ya wajumbe ambao wamekazana sana kuwatukana waasisi wetu kwa kuwaita wamechakachua takwimu za rasimu za katiba mpya. Waasisi hawa ni; Joseph Sinde Waryoba...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Kwa wale wapemba na waunguja mnaoendaga imarati. Nimemsikia mzee wenu Yahya Kassim akisema @ 2:24 kuwa waarabu huwa wanajiuliza wataipata serekali ya ya zanzibar lini? . pia @ 2:38 anasema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heri ya ijumaa kuu! Wanabodi huyu jamaa ni mwanasheria au msakatonge? Jana wakati anachambua rasmu ya katiba anasema tume ya jaji warioba haikuwa na mamlaka ya kukusanya maoni juu ya muundo wa...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Kila mwenye kupenda amani! Tuitumie ijumaa hii ya leo kumuomba mwenyezi mungu atuepushe na majanga mbalimbali hapa nchini! Isitokee tuingie ktk vurugu kubwa zitakazosababishwa na wana siasa...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Tangu asubuhi leo hii hapa mjini moshi kumekuwa na maandalizi ya maandamano makubwa yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kumpinga mh. lisu kwa kutoa maneno yasiyo faa zidi ya mwalimu nyerere.
0 Reactions
110 Replies
10K Views
Fuatilia hapa kwa yanayojiri bungeni leo. Mh. Zarina MAdabida Anasema watanzania wawe makini na hawa wajumbe wanaotaka kusababisha umwagaji wa damu hapa tanzania. Anasema ukwa...
0 Reactions
94 Replies
9K Views
  • Closed
Sikujua km kuwa mbowe ktk siasa za TZ ni shida sana..Mbowe anapakwa matopwe sana..na mara nyingi kupakwa matope na watu walewale na kuliliwa ktk mambo yaleyale ila kwa pande mbili..Mbowe anaweza...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Nawaza tu!... Endapo tutavunja huu muungano: 1. watanganyika tutapoteza siku tatu za mapunziko (i) Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar - 12/jan (ii) Karume Day 7/april na (iii) Siku ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukimya wa mkuu wa majeshi generali D Mwamunyange kuhusu kauli ya Lukuvi jeshi watachukua nchi iwapo s3 itapita kunatia mashaka. Jenerali yeyote anayeheshimu demokrasia angekanusha kwa nguvu zote...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Wajumbe wa bunge la katiba wanaotokana na CCM wanatamba katika bunge la katiba kwamba wao wapo wengi na hivyo kwamba wana uhakika chochote watakachotaka kukipitisha kitapita. Wameanza na suala la...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Back
Top Bottom