KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wakati taifa likiwa ktk tahadhari kubwa huku misingi ya amani na umoja aliotuachia muasisi wa taifa hili hayati mwalm Nyerere tayari kuna taarifa chini yakapeti zinasema kuna makachero...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
ASKOFU Mdegela atema cheche asema hana imani na Bunge Maalumu la Katiba (BMK) na awataka UKAWA warudi wakapambane ndani ya bunge asema kama wameshindwa kusema waliyonayo ndani ya bunge warudi...
1 Reactions
67 Replies
10K Views
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
katika sikukuu hizi viongozi wa dini naona wanakazana kutoa matamko mbalimbali wao wakiita Salamu za pasaka. Ndani yake unaona element za siasa. Nadhani wanapaswa kujua waumini wao wengine ni CCM...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefurahishwa na kauli ya Mh Membe kuhusu namna ya muundo wa aerikali ya kwamba itapigwa kura ya maoni kabra kurejesha bungeni. Nimeipenda hii.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimetafakari sana baada ya kufuatilia mijadala ya rasimu ya katiba iliyoletwa na tume ya rais kikwete chini ya m/kiti jaji joseph sinde warioba. Mwanzoni nilikuwa muumin wa s3 lakin nimevutiwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Can the Union be successfully implemented under any form of power? “All the states but our own are sensibe that knowledge is power” – Thomas Jefferson The Union is both a political and...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) liko na ajenda moja mkononi ya kuhakikisha kuwa linapata support kutoka kwa wananchi kuhakikisha kuwa katiba iliyopendekezwa na Warioba ndiyo...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
MVUTANO wa muundo wa serikali mbili au tatu uliogubika Bunge Maalumu, umelifanya Baraza la Mahusiano ya Dini mbalimbali kwa Amani Tanzania (IRCPT), kutaka kura ya maoni ifanyike ili wananchi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Fikra: ulizo? ni bora ndugu zetu wa znz watawaliwe na hao warabu kuliko ccm isiyowapenda ama nakosea? uhalisia: waarabu waishio visiwani kwa mujibu wa uhalisia maana nawaona hata hapa wenzangu...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
WADAU mi nafikili ni jambo ambalo halifai kulichachalia au kuna upande una maslahi sana na muungano??? kama wazanzibar hawataki muungano na hii ni democrasia basi ipigwe kura zanzibar yote...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
BREAKING NEWZ,NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH:MWIGULU NCHEMBA AZUIA MALIPO KWA WABUNGE WALIOTOROKA BUNGENI "UKAWA". AZUIA MABENKI YASIWALIPE,UKAWA WALALA NJAA. Na.Baraka Msuga Ikiwa ni Siku ya pili...
3 Reactions
192 Replies
20K Views
hapa tukiondoa shughuli hizo tutaweza kupunguza gharama na hivyo basi tukapeleka katika shughuli za kijamii hata kwa kuendesha serikali ya tatu au nazaidi hilo linawezekana tukiamua KARIBUNI...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninavyojua ni kwamba nchi yetu, TANZANIA ni nchi iliyotokana na muungano kati ya TANGANYIKA na ZANZIBAR na kuzaliwa kwa TANZANZANIA. Hivyo basi, serikali ya Tanzania ni serikali ya muungano na...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Hakuna tena mjadala uliobaki bungeni. Wajumbe waliobaki wanakubaliana kwa 100% juu ya rasimu kielelezo ya CCM. Matumizi ya bunge kwa siku ni zaidi ya milioni 200. Sioni haja ya kuendelea kukaa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hatimaye Jeshi la polisi Zanzibar limezuia mikutano yote ya kisiasa kwa hofu ya kiusalama,UKAWA na UVCCM wavurugiwa mipango yao!
1 Reactions
26 Replies
4K Views
ANGALIA VIDEO YA HUTUBA YA MAMA SALMA KIKWETE KWA WAKAZI WA LINDI, AWATAKA KUKUBALI MFUMO WA SERIKALI MBILI. Mama Salama Kikwete akiwahutubia wananchi wakazi wa Mji wa Mnazi Mmoja Lindi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Watanzania wengi ni mbulula na malimbukeni, tanganyika iliungana na zanzibar tukapata TANZANIA, lakini leo hii watu wanagoma kuonekana neno tanganyika wanasema TANZANIA BARA iliungana na zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chuki hizi msidhani Hazina udini ndani, Maana behewa hili Lina watu kila hali Wamo na maaskofu, Na mashehe watukufu; Na wasomi wa sharia, Na wachumi wetu pia, Kila mtu ana lwake, Anazo sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..OK, hawataki kutupa wa-Tanganyika serikali yetu. ..lakini hata jina letu nalo walifute? ..ndugu zetu wanaitwa Tanzania Zanzibar, kwanini na sisi tusiitwe Tanzania Tanganyika? NB: ..watetezi...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom