KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, tuliona namna Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichoshika hatamu zote za uongozi wa nchi wakati huo, kilivyoweza kumpindua Rais wa Serikali ya Awamu ya Pili...
Katika kile kinachonekana kutojali au kuonyesha kuwa hawatishiki na UKAWA kujotoa kwenye Bunge la Katiba, Kiranja wa mawaziri ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda ametoa kauli hiyo siku la leo wakati...
TUTENGENEZE KATIBA YA SERIKALI MBILI ZISIZONUNG'UNIKIANA
Hivi sasa, taifa letu liko kwenye mjadala mkubwa wa kijamii na kisiasa katika mchakato muhimu wa kuandika upya Katiba yetu. Mchakato huu...
Kutokana na hali inavyokwenda sera rasmi ya serikali ni kuwa wapemba ndio adui wa nchi (enemy of the state).(RABDA KOSA LAO NI KUINYIMA KURA CCM MAANA HAWAJAPATA HATA DIWANI PEMBA) Tunachosubiri...
Kwa mujibu wa "miliki" hii, mtawala wa Ortelo anaweza
kuchukua kijiko na kung'oa makao makuu ya wilaya au
polisi, au hata kuyachoma moto kama askari
walivyochoma makazi ya wafugaji.
Jeuri hiyo...
Kitendo cha lipumba kufananisha bunge la katiba na interahamwe hakipaswi kuungwa mkono wala kufumbiwa macho. Hicho ni kikundi cha wahuni na wauaji ambao wameua watu weng mno. Hivyo haikuwa busara...
"Na Francis Godwin, Iringa
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya Iringa Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada ya Jumapili ya Pasaka leo kulaani vikali wale wote wanaowatukana...
Ndugu Watanganyika,
Ninapenda kukutoweni hofu na mashaka yenu juu ya mzanizbari kuwa ni mwarabu au laa.
Mimi Mzanzibari
1. Ni Mwarabu, niaupenda sana UARABU, Mila zanu ni za kiarabu
2...
Kwa taarifa za uhakika kabisa Alkhamis tarehe 24 April 2014 UKAWA ndani visiwa vya karafuu Pemba, maandamano ya aina yake yatakayoongozwa na Prof. Ibrahim Lipumba ndani ya viwanja vya Gombani kule...
Askofu Mokiwa wa Anglikana analaani kitendo cha baaadhi ya wajumbe wa bmk kubeza maoni ya wananchi pia amepinga watu kusema waasisi wa muungano wametukanwa ,ameipongeza tume ya warioba kwa...
MCHAKATO WA KATIBA - UJUMBE WA KICHUNGAJI WA PASAKA 2014 KWA WAAMINI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA
Sote tuwe na Umoja (rej. Yn 17:21)
UTANGULIZI:
Ndugu wapendwa, tunapohitimisha kipindi...
Wakati wiki juzi Polycarp Kardinali Pengo alisema hataki serikali tatu anataka serikali mbili ifuatayo ni nukuu niliyoitoa kwenye gazeti la jana ikisema hivi:
Askofu Mkuu wa jimbo Kayoliki...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ruksa kwa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya mikutano yao nchi nzima.
Pinda alizungumza jana wakati akifunga maonyesho ya miaka 50...
Tangu uchaguzi mkuu october 2010 kumalizika, hakuna siku imepita, kusiwepo na jambo ambalo lina~draw attention za watanzania! Yapo mengi kwa kweli, ila mwishowe yanaisha, yanakuja mengine...
Nani atakataa kuwa kazi inayofanywa na Bunge maalum la Katiba ni kazi ya kawaida inayotakiwa kufanwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano Tz.kazi ya kuwekea viraka katiba iliyopo sasa[1977],kama...
Habari ya maaskofu wa kanisa katoliki kutaka maoni ya wengo kama yalivyowasilishwa na tume ya Warioba yaheshimiwe kwenye bunge la katiba, imeandikwa na magazeti karibu mengi kwani ni tamko...
Heshima mbele wakuu!
Kutokana na mjadala mkali unao endelea kuhusu muundo wa serikali katika katiba mpya,nimepata maswali kadhaa,ambayo ningependa wajuzi wa mambo mnisaidie.
1: Tatizo letu kubwa...
asante sana kwa maaskofu wangu kuwaambia ccm ukweli. Nilikuwa nimepata shaka sana kuona mmekaa kimya wakati ccm wakimtukana warioba na tume yao eti kwa sababu warioba alikubali kuweka siasa za ccm...
https://www.facebook.com/photo.php?v=654466944602943&set=vb.100001189291607&type=2&theater
msikilize jamaa alivyo na siasa kali na ubaguzi wa kidini.
kwa viongozi hawa nchi hii imekwishaa
.SASA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.