KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wana Jf, Kiroho safi, Embu weka Ushauri wako hapa kwa Raisi wetu kwamba ipo haja kweli ya kuendelea kuteketeza fedha za Serikali kwa kuliongezea siku Bunge La Mabadiliko Ya Katiba (BMk)...
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Kinachonifanya kuandika uzi huu ni hii tabia ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba wamekuwa na tabia ya kuuza sura kujionyesha wakipiga meza kupongeza pale tu baada ya kujiona sura yake kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge limedoda baada ya wapinzani kuwaachia itarahamwe watunge katiba ya ccm.humo bungeni hakuna mwenye mawazo kinzani.wote wanamjadili Lisu na Jussa katika kuchangia sura ya kwanza na ya sita.
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wanaopinga serikali tatu ni mafisadi tu. Msimamo wa CCM ni serikali tatu, hata Mheshimiwa rais mmemiskia akisema sisi hatuna tatizo na serikali tatu. CCM inaunga mkono hoja ya serikali...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Mjumbe wa Bunge la katiba prof. Hamza Njozi katika mchango wake makini na uliovuta hisia za wengi bungeni hii leo pia amemuomba rais Kikwete katika nafasi kumi alizonazo kikatiba kama bado anazo...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Alafu hii hoja kwamba wananchi wa hawajali muondo wa serikali wao shida yao ni ni maji sjui umeme afya na blah blah ni kufisilika kwa hoja na kuwaona wananchi kuwa hawezi kutofautisha bunge la...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Mambo ya Katiba mpya yatakapokwenda halijojo na kukosekana kwa Katiba mpya,yupi hasa tutamlaumu?: 1. Je,ni Jaji Joseph Sinde Warioba na Tume yae waliokusanya maoni ya wananchi na kuyaandika...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Jumuia ya maiamam Zanzibar imemtaka rais kikwete amwajibishe Lukuvi kutokana na kauli yake ya kutaka kuidhibiti zanzibar kwakuwa ni nchi yenye waislam wengi. Katibu wa jumuia hiyo sheikh...
3 Reactions
178 Replies
32K Views
Unajua wanasiasa ndio wanaouharibu UKWELI na kutuchanganya....wakati WARIOBA na tume yake wakikusanya maoni baadhi ya vyama vya siasa waliipinga tume ya WARIOBA na kuona si tume huru na hata...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Wadau naomba msaada.Hivi tangu hili bunge lianze wanaojiita waliowengi wanajadili rasimu au marekebisho ya katiba iliyopo? Je yale mabishano ya wazi au siri maana yake ilikuwa ni kuwathibiti...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Kwakua Jambo Linaloonekana Kutatiza Ni Idadi Ya Serikali Nimeona Si Vibaya Nikatoa Mchango Wangu Kama Ufuatao. Serikal Ninayoona Inafaa Ni Serikali Moja Na Nchi Itakua Moja Ya Tanzania Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali Tatu Zitaondoa Kero ya (Wana)jeshi? Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ameibuka tena na kile ambacho gazeti maarufu la Mwananchi kinayaita "Maswali Saba ya Jaji...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Bunge linaloendelea la Katiba limebadili sana mwelekeo wa mjadala kwa sasa. Ukiwa makini kulisikiliza utajifunza vitu viwili kuwa ndio sasa mwelekeo wao: 1. Kuwajadili UKAWA 2. Kupinga namna Tume...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Ibada maalumu ya Bunge la Katiba leo Dom By Daniel Mjema, Mwananchi Imewekwa Thursday, April 24 2014 at 00:00 Dodoma. Wakati viongozi wa dini wakipaza sauti kutaka maoni ya wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni kuna mbunge mwanamama alimshambulia jussa mwisho akasema zanzibar ni ya watu weusi na jussa ajitizame kama anayo rangi nyeusi.tujiulize 1.rais msitaafu karume ana rangi gani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani hoja yangu haina chembe ya udini hata kidogo. Nifuatilia kwa undani hasa baada ya tamko la maaskofiu Katoriki kutoa tamko lao kuhusu mwemendo wa mchakato wa kutafuta katiba mpya ...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mchakato wa kutengeneza katiba mpya unaondelea Dodoma. Kuna huu utambulisho uliokwisha kolea masikioni kwa watu(yani kundi la walio WENGI na kundi la WACHACHE). Nafikiri aya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge la kujadili rasimu ya katiba mpya mjini Dodoma tumeshuhudia mengi:matusi,vijembe,taarabu,mipasho na hata vitisho kwa wajumbe na wananchi kwa ujumla. Sehemu kubwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tumesikia matusi makubwa kutoka kwa Kigwangala na kijana Mwingine Paul Makonda ambao kwa sasa kupitia BMK wamekuwa wakimuandama sana Jaji Warioba Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba: Jaji...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom