KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na CHADEMA kutangaza kupitia kwa Mnyika kuwa watu watoa mapendekezo ya akina nani watawakilisha CHADEMA kwenye tume katiba mpya, mimi napendekeza hawa. 1.Tindu Lissu-Huyu ni mtaalum wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema . Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
"Katiba tuliyo nayo imeakisi misingi ya Wakoloni wetu sio Utamaduni wetu. " Prof. Mahalu "Katiba ya Sasa ilizingatia usalama wa Nchi na maendeleo kwa wananchi wake" Prof. Lipumba "Afrika Kusini...
1 Reactions
1 Replies
911 Views
Kampeni za Uchaguzi 2025 zitatawaliwa na wapinzani kuahidi kuleta Katiba Mpya mara watakaposhinda! Kwa sasa WaTanzania wanataka Katiba Mpya na kumfunga Mbowe kunachochea Zaidi mjadala huo. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
[emoji1318] WAKUU, KUNA IDEA KUNTU SANA NIME_DEVELOP HAPA- KWENYE HII KATIBA YETU MPYA AMBAYO MAZA AMESEMA TUJADILIANE NAYE NA PIA TUMPE MUDA, MUDA UKIFIKA MASELA TUNG'NG'ANIE KIPENGELE CHA...
1 Reactions
0 Replies
563 Views
Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa...
15 Reactions
69 Replies
4K Views
Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ni mteule wa Rais Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani. Ukifuatilia kilio cha aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya kuanzia Ijumaa hadi leo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi huru iliyopata uhuru wake mwaka 1961 Katiba ya kwanza iliandaliwa uingereza na kuleta tanganyika na kuanza kutumika baada ya kuonekana ina mapungufu. Mwaka 1962 waliteuliwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Wana-CHADEMA, Mwenyekiti wenu alikamatwa usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya kule Mwanza akiwa na wanachama na viongozi wengine. Tangu akamatwe, habari ya kongamano imekufa! Kwa sababu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA mh J J Mnyika amehojiwa na mtangazaji Waziri Khamsin wa BBC kuhusiana na namna chake kilivyopokea mahojiano ya BBC na Rais Samia. Mnyika amesema sheria ya vyama vya siasa...
10 Reactions
65 Replies
5K Views
Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania WARIOBA ASISITIZA KATIBA MPYA TANZANIA | 13.07.2021 Vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba mpya Tanzania bado liko juu na safari hii, waziri mkuu mstaafu...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CCM, Samia alisema, katiba mpya isubiri kwanza. Angalao yeye hakusema kuwa katiba mpya siyo muhimu na wala hakusema siyo hitaji la wananchi. Lakini ukimsikikiza Shaka na Chongolo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya vuguvugu la madai ya Katiba Mpya sambamba na kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na pande mbili zinazosigana kuhusiana na swala hili la Katiba Mpya. Hebu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm wananchi wa Tanzania si wanaotaka Katiba mpya , bali Katiba mpya inatakiwa na wanasiasa ili watimize malengo yao, hii ndio kauli yake aliyoitoa kwa vyombo vya...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…