Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia.
Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa...
Kwenda kanisani kufanya Ibada Ni haki ya kikataba ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Wanaotaka katiba wamenyimwa kufanya makongamano, bila kuathiri Hali ya usalama wameamua siku ya ibada...
Wana bodi,
Katika kipindi hiki ambacho wana CHADEMA wanakamatwa kwasababu ya nia yao ya kutetea katiba mpya ni vyema kuji uliza kama katiba tuliyo nayo sasa hivi ina mapungufu na kama utumiaji wa...
Hivi kwa nini hawa vijana wa CCM ni debe tupu kichwani?Hivi ni lazima ukishakuwa CCM ni lazima akili zipeperuke? Hawa vijana wa CCM juzi walijifanya kuwa ni BAVICHA wanaopinga katiba mpya huku...
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi...
Wasalaam.
Kama taifa tutafakari ugaidi uliotokea Tanzania ukiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe ambae yupo jela kwa tuhuma zinazomkabili za ugaidi. Ni vema kujua maana halisi...
CHANJO. MBOWE. KATIBA MPYA. TOZO ZA MIAMALA. RAIS SSH
Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize:
1. Kwa nini itumike nguvu na...
Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya!
Source: TBC1 Habari
CHADEMA WAZIDI KUVURUGANA VIJANA WA CHASO IRINGA NAO WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA KATIBA MPYA.
Katika hali isiyo ya kawaida vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa...
Hizi ndizo sababu za wanasiasa wengi kuidai katiba mpya/ kuipinga
Ni wazi na kweli kabisa kwamba watu wengi hususan wanasiasa, wamekuwa wakiidai katiba mpya ya tanzania kwa nguvu zote.
Hata...
Mimi ni mdau ambaye naunga mkono sana mabadiliko ya Katiba lakini mpangilio wa sasa ambao unaongozwa na CHADEMA sijaupenda na hautasaidia mafanikio haya kwasababu zifuatazo
1. Rais mpya Samia...
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu.
Ndugu zangu,
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba...
Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena...
ALAANI MCHAKATO WA UPINZANI KUDAI KATIBA
"Mimi mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe nalaani chokochoko hizo na zaidi nawaomba watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii kuendelea kuunga mkono juhudi...
Habari wana JF na Watanzania kwa Ujumla.
Kama ilivo wazi kwa wadau na wanaharakati wa Siasa hapa inchini, Moja ya eneo of Great interest katika Masuala ya Siasa ni kubadilishwa/kurekebishwa kwa...
CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia.
Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa...