KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU?
Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania...
Kipindi mzee wangu JPM yupo walikua hawaongei ameondoka Sasa ndio wanajidai wanajua kutumia maiki.
Watu hadi wanatunisha mishipa na misuli kama yote. Mpaka unaweza kukimbia yaani.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...
Dkt. Edward Hosea, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anafurahi kuona wananchi wanatoa madukuduku yao kuhusu Katiba Mpya, ameiomba Serikali kulitazama jambo hilo.
Amesema ni...
Mzee Warioba akiongea katika kipindi cha dak 45 cha ITV, alikuwa na hoja za msingi.
Katika hizo, la msingi zaidi kwa taifa, alisema:
“A new constitution is a must,” he said. “The draft...
Msajili wa Vyama vya Siasa kasikika kuhoji kwenye sakata la kufukuzwa kwa wale 19.
Kwa mujibu wa Naibu Katibu mkuu CHADEMA bwana Benson Kigaila:
"Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa...
CCM kama hamna nia ya leo kukubali mabadiliko ni bora mkajiuzulu ili wanaoweza kutekeleza azma ya kuipatia nchi hii KATIBA MPYA inayokubalika kwa Nchi zote mbili Tanganyika na Zanzibar ni...
Ni wazi kuwa kama taifa la Tanzania tunahitaji katiba mpya tofauti na ile ya mwaka 1977.
Hii ni kwa sababu Tanzania ya mwaka 1977 sio kama ya leo.
Leo hii watanzania wanajua haki zao. Wanajua...
Hivi hili suala la Katiba mpya mbona Kama viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani pamoja na mzee jaji mstaafu Warioba ndo Kama wao wanaliongelea ili hali mtaani huku wananchi wa kawaida ni...
Binafsi kuhusu #KatibaMpya, nataka ije leo kesho ila ambacho SITAKI ni kuanza upya kwa mchakato yaani tuanze tena kuchukua maoni ya wananchi na kutengeneza rasimu nyingine,nachotaka ni zile Rasimu...
Ni kitu kizuri kuichambua katiba na kuitendea inavyotaka maana miaka na miaka lazima kabita inaweza kubadilika hila si kwa wote kulingana na nchi.
Tukija kwenye katiba ya zamani bado kuna sehemu...
Kwenye katiba ijayo hebu huku kwenye serikali za mitaa,vijiji na vitongoji katiba iwe inaruhusu wagombea binafsi
Kwasababu kuna watu wanakua wanakubalika na wanafaa kua viongozi ila kwakua...
HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA
Na, Robert Heriel
Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba.
Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi...
Hakuna katiba ambayo itafanikiwa kama hatutabadilisha mfumo. Katiba iundwe draft yake iandaliwe na wataalamu pekee wenye uzoefu kwa manufaa ya nchi kama walivyofanya Kenya.
Tukiweka wanasiasa...
Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi.
Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake.
Hatua hii...
Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala...
Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amevitaka vikao vyote vya kikatiba vya Bavicha kuanzia Taifa hadi Msingi kuandaa kamati za kudai Katiba mpya.
Mnyika amesema ni vema wakajipanga sawasawa kabla...
CCM yasema haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu, kipaumbele chake ni kujenga nchi.
- Wanasiasa waache kuitumia agenda hiyo kama turufu ya kuwahadaa wananchi.
"CCM haina agenda ya katiba...
Sasa ni muda mwafaka Wazanzibar kuamua kuwa koloni la Tanganyika au walete Katiba ya Warioba yenye msingi wa Serikali 3
Mmekuwa mnalalamika kuwa Tanzania bara ndo Tanzania na Zanzibar imefanywa...
Nawasalimu ninyi nyote kwa jina la katiba mpya.Watanzania na Wasiowatanzania sote kwa sauti moja tunapaswa kuungana na kudai katiba mpya.Bila katiba mpya tutaendelea kuishi Tanzania kwa hisani ya...
Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.