Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima...
Habar wtz nimekaa kwa muda nikisubir nione wale watu wanao jiita watetezi wa wananch siku zote wakisema hata neno Moja kwa Hali inayo endelea sasaiv ila mpaka Sasa wapo kimia
Nashangaa wote walio...
Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai...
Wakuu hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii. Anaanza kuleta masihara. Kwa wamarekani weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana...
Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.
Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko.
Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba...
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa...
Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa.
Kila kitu kipo...
Wengi akili imeelemea kwenye kudai Katiba Mpya. Hili ni wazo jema sana. Lakini tumewaza vizuri vita tunayoipigana? Silaha tunazotumia? Tuko tayari na matokeo ya vita hii?
Nimemsikikiza wakili...
Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam.
Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na...
Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na...
Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.
Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo...
Vimbelembele au vihio vya CCM vinasambaza itikadi mbaya sana eti kila kitu cha Katiba wanakielekeza kwa CHADEMA.
Faida ya Katiba mpya ni faida kwa Tanzania wote tena jambo hili halihusiani na...
Habari wanaBodi..
Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana.
Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba...
Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka...
Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais.
Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka.
Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya...
KATIBA INARUHUSU LAKINI NI NGUMU SANA BUNGE KUMWONDOA RAIS MADARAKANI
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi,
Leo nimeona nije na hili jambo la kusisimua lililopo kwenye katiba yetu lakini...
Jicho la tatu linaonesha kiu ya wanaodai katiba mpya ni madaraka na wanaosema iliyopo inafaa pia wanataka kubaki madarakani. Suruhisho ni nini!??
Katiba iliyopo na hata mpya inayopiganiwa...
Wanaukumbi.
Je umeshawahi kujiuliza ni kwa nini CHADEMA hawajawahi kudai Katiba Mpya kipindi cha takribani miaka 6 ya Mhe. Jiwe Madarakani?
Rais, SuluhuSamia, yupo madarakani miezi 3 tu...
Ndugu zangu,
Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.