Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika
Kwa watu...
Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla.
Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba...
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili...
Rais Samia wa Tanzania akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu ya Tanzania leo
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amemtembelea Rais Samia wa Tanzania leo...
Eid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka...
Mfumo wa utawala tulio nao sahivi wa demokirasia katiba ni muongozo wa Taifa kiuchumi, kijamii, michezo na sanaa; hivyo inatosha kusema kuwa katiba ni muongozo wa jumla juu ya uelewa wa jamii...
Jamani naona mimi kuna somo moja ambalo bado napenda kujifunza kwenye hilo bunge la katiba nalo ni somo la utawala bora. Hivi hawa wajumbe walioenda kule wakachagua mawaziri (mwenyekiti-Sitta na...
Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni.
Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti...
Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa...
Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya.
Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na...
Hakika moto wa katiba mpya umekuwa moto
Mchakato wa rasimu ya katiba mpya unaonekana ni suala geni sana hapa tanzania na mwanzilishi wake inaonekana ni cuf au chadema kwani ccm inaonekana haimjui...
Kwa unyenyekevu mkubwa Rais Samia ashauriwe ili nae apange kalenda ya mchakato wa kumalizia uwandishi wa katiba mpya. Sio rahisi kwa mwaka huu kuandika katiba mpya kwakuwa bajeti ya mwaka huu...
Suala la kudai Katiba Mpya ni la lazima kwa sababu kuna makundi 3 yanajitahidi sana kupinga isipatikane.
Makundi hayo ni
Kuna kundi lisilo na Uwelewa wa katiba iliyopo na katiba mpya
Kuna kundi...
Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule...
"Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’...
Kwa nchi yetu ilikofika
Inahitajika katiba mpya kwa mstakabali wa nchi yetu
Tumeona mambo yanaenda ndivyo sivyo katika sekta tofauti tofauti hasa kwenye maamzi ya Baadhi ya viongozi
Kuna...
Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache...
Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema!
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa...